Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani Collo ndio ameweka Russia kama Transition economy jameni.....why is it that Tanzanians oppose open evidence jameni. You always think that ni kuonewa....øh Russia wanaonewa....oh Tanzania wanaonewa......who is that invincible Mr onewa? ....If you dont meet a threshold thats it....theres no two way about it.
 
Russia's GDP is $1.3 trillion smaller than India 2.3 trillion,USA 16 trillion,China 11 trillion etc even Tokyo city has a bigger GDP than Russia use youre google...Russia is a second world
Hawa watu sijui wanaangalia vigezo gn yaan china GDP 11tusd lakini ni nchi ya dunia ya pili ila urusi ni 1.3tusd ila yupo kweny translation. Japan ni develeped. Duh
 
Dogo soma dunia uijue. Sijui development kwa akili zako ni nini?
Unajua kwenye security council ya dunia zipo nchi tano ambazo ni permanent countries. Hizo ndizo zinaamua dunia iende vipi.
Nchi hizo ni
Usa, France, England, china and Russia.

Sasa wewe kajamba nani hujui hata kutengeneza shot gun unataka kujiona kidume.
Acha ujinga wewe soma dunia ilivyo.
Eeh nilete any source yenye inaonyesha Russia ni developed ctaki story mob
 
meanwhile
742e631a8c5ca2beb166402c036edb41.jpg
 
Wakenya hawana mahindi...Nairobi maji imekua tatizo rasmi Yaani mambo hadharani hapo sicheki...Ila suala la urusi mazee acheni utani...urusi mf Moscow pekee ni tajiri kuliko Nigeria. ..Russia ni developed country hyo haina ubishi,nchi inayisambaza gas ulaya nzima mzima inayoiongoza me technologies mbalimbali Ikawa kwenye transition? Ilo jambo sikiafiki...well kuhusu BRICS sio tatizo lakini fact itabaki Russia ni wababe wa dunia kivita kifedha huwezi waweka kama transition economy country
Moscow GDP ni 550b but Russia GDP 1.3 trillion...period
 
Back
Top Bottom