Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

america hawezi sema mazuri kwa adui zake hata siku moja ndio maana unaona technology ya russia inatishia dunia nzima
russia anaogopka kwenye space technology, military technologies, IT, etc
America ni maadui na Brazil?,China?,India?...Russia is not developed
 
Sababu za kuhairisha uchaguzi ni nini? kutoamini ballot paper printing firm. Hio kwako si sababu tosha ya ku nullify hio kandarasi ata kama itachelewesha uchaguzi? Wewe hapo ulipo unaamini Tanzania kulikuwa na free and fair elections mwaka jana? ama nyinyi ndio wale CCM wakisema jump mnauliza how high, nchi zingine tabu kweli. We need a credible election to avoid 'kupigana mapanga' as you put it, sisi sio watu wakuburuzwa na kukubali kila kitu kama nyinyi, kama mbaya mbaya.
Hahahaha hope mtadiscuss vizur hiyo mambo as fast as u can.. Mungu awasimamie
 
Sababu za kuhairisha uchaguzi ni nini? kutoamini ballot paper printing firm. Hio kwako si sababu tosha ya ku nullify hio kandarasi ata kama itachelewesha uchaguzi? Wewe hapo ulipo unaamini Tanzania kulikuwa na free and fair elections mwaka jana? ama nyinyi ndio wale CCM wakisema jump mnauliza how high, nchi zingine tabu kweli. We need a credible election to avoid 'kupigana mapanga' as you put it, sisi sio watu wakuburuzwa na kukubali kila kitu kama nyinyi, kama mbaya mbaya.
Lakini pia sisi sio watu wa kuburuzwa kujazwa upepo na kuchinjana mapanga kisa Fulani anataka kuwa kiongozi,
Na nikukumbushe tu kuwa huku hata ukiitisha maandamano unawezajikuta peke yako barabarani..
Mimi binafsi najiamini na siendeshwi na Mawazo ya Mbowe au Magufuli, naheshimu serikali, many of us we r like this..
Yes we are different.
 
pale LDC "inanyorosha" DC

3efa717771e10df3ca97270966ce9b5f.jpg
947bb8f25d72980168b8f8ccd2c30c3a.jpg
 
Haha so North Korea pia ni developed?
unafkiri kwwa vikwazo vya kiuchumi alivoeekewa north korea yapata 20 yrs sasa angekua bado ana survive kama angekua hana economy hana military, wenzako hawatumii anything from europe au america wanatengeneza vitu vyao ndio maana hawahisi maumivu ya vikwazo vya kiuchumi
 
sio ya kijamaa vile mzungu anachuki na north korea ndio ujue chuki hio iko kwa russia, america na ujanja wake wote lakini space anamtegemea russia
Mnatetea wanaujamaa wenzenu....kua na chuki has nothing to do with GDP per capita....China economy yao soon inaeza surpass ya USA...but juu ya population yao per capita itawafanya wakue not developed
 
Back
Top Bottom