The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Nyie mnazaana km ngedere, huoni Kenya ni mara mbili ya Tz na tumewazd only 6ml?Hivyo ndivyo akili za mgando hureason. Anafaa ajiulize ni kwa nini Nairobi ni ndogo kieneo lakini imebeba watu million nne wakati Dar ina ukubwa mara mbili ya Nairobi but has only five million people. The answer is self-explanatory: Most people in Nairobi live in apartments that can accommodate more people. Sasa kama Dar inazidi Nairobi na apartments, iweje inashinda Nairobi with only one million people despite of its size?
Ama apartments zao ni hizi hapa [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 1692930View attachment 1692932View attachment 1692933View attachment 1692934View attachment 1692935
Au nasema urongooo🤣🤣👇👇Hivyo ndivyo akili za mgando hureason. Anafaa ajiulize ni kwa nini Nairobi ni ndogo kieneo lakini imebeba watu million nne wakati Dar ina ukubwa mara mbili ya Nairobi but has only five million people. The answer is self-explanatory: Most people in Nairobi live in apartments that can accommodate more people. Sasa kama Dar inazidi Nairobi na apartments, iweje inashinda Nairobi with only one million people despite of its size?
Ama apartments zao ni hizi hapa 😂 😂 😂View attachment 1692930View attachment 1692932View attachment 1692933View attachment 1692934View attachment 1692935
Jamaa tangu mwaka juzi picha zake ni hz hz tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hivyo ndivyo akili za mgando hureason. Anafaa ajiulize ni kwa nini Nairobi ni ndogo kieneo lakini imebeba watu million nne wakati Dar ina ukubwa mara mbili ya Nairobi but has only five million people. The answer is self-explanatory: Most people in Nairobi live in apartments that can accommodate more people. Sasa kama Dar inazidi Nairobi na apartments, iweje inashinda Nairobi with only one million people despite of its size?
Ama apartments zao ni hizi hapa [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 1692930View attachment 1692932View attachment 1692933View attachment 1692934View attachment 1692935
To begin with, Kariobangi is not a ward. Secondly, I can show you different parts of Kariobangi but that won't change yourviews and opinion about the area. But for the sake of information, tell me how these places below in Kariobangi are slumsWait,that is a part of kariobangi and it seems to be ok...Tell us how the whole of kariobangi ward is...Even some parts of manzese equals other planned areas but you know most of it is not planned
Hiyo sio sababu Tz watu wako spread kwenye mikoa mingine ambayo ina facilities kama za Dar unlike Kenya maendeleo yote yamekuwa concentrated Nairobi so people have to flock in na wala sio issue ya apartment majority ya mid and low income Kenyans live in slums.Hivyo ndivyo akili za mgando hureason. Anafaa ajiulize ni kwa nini Nairobi ni ndogo kieneo lakini imebeba watu million nne wakati Dar ina ukubwa mara mbili ya Nairobi but has only five million people. The answer is self-explanatory: Most people in Nairobi live in apartments that can accommodate more people. Sasa kama Dar inazidi Nairobi na apartments, iweje inashinda Nairobi with only one million people despite of its size?
Ama apartments zao ni hizi hapa [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 1692930View attachment 1692932View attachment 1692933View attachment 1692934View attachment 1692935
yaani kila siku makazi yenu ni hayo hayo tu no new it means nairobi kuna vijumba hivyo pekee[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnatoshaje humo angali mpo watu zaidi ya million nne hapo nairobi[emoji16][emoji16]?Nairobi nzima ni slums [emoji23] [emoji23]
Take a look at slums in Eastlands [emoji23] [emoji23]
View attachment 1692273View attachment 1692288View attachment 1692339View attachment 1692414View attachment 1692415View attachment 1692416View attachment 1692417View attachment 1692418View attachment 1692419View attachment 1692423View attachment 1692424View attachment 1692425View attachment 1692426View attachment 1692427
[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787] yaani makazi yao kila siku ni hayo hayo na hayalingani na wingi wa eakazi wanaoishi nairobi,,,,Jamaa siku zote kitu anachoona yeye ni dili ni apartment tu, yn yeye hana kingine cha ku offer zaidi ya apartments tu asubuhi, mchana, jioni anawaza apartment tu si bora wangekuwa wanaishi Wakunya basi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Dar population ni 6 million for your information.Dar inafaa icheze na watu milioni kumi km kweli imejaa appartments[emoji1787][emoji1787]
Yani muinusenuse new york[emoji1787][emoji1787]
Haiwezekani eti ijae appartments kibao alafu population iwe juu na milioni moja tu kuliko nai ndogo yenye appartment chache
Nenda mbali na ujinga wako wa kutetea upymbav ....We nishakurusha akili tayari[emoji1787][emoji1787]
Hoja gani hyo na tayari umeshawehuka
Huyo ichoboy01 ni fala. Nimeshamuambia kuwa kwa sababu Nairobi (tusipoinclude Nairobi metro) ni ndogo kieneo kushinda Dar, inabidi tujenge kuelekea juu ndio maana most Nairobians wanaishi kwenye apartments na yeye hataki kusikia.Jamaa anataka kutudanganya eti eneo la 1600km² limejaa appartments kibao[emoji1787][emoji1787]
Tony254 njoo huku umfunze huyu mwehu, eti eneo la 1600km² lijae appartments alafu population isifike milioni kumi
Hii sio apartment mzee. Wacha ushamba.Na hii ukiambiwa ni part of magomeni unakasirika kwann sasa🤣🤣🤣👇👇👇👇View attachment 1692906View attachment 1692907View attachment 1692908View attachment 1692909View attachment 1692910View attachment 1692911View attachment 1692912View attachment 1692913View attachment 1692914View attachment 1692915
Zaidi ya 80% ya landmass ya Nairobi sio slums bali ni estates za apartments au private houses. Wewe endelea kuonyesha slums as if slums zinacover eneo kubwa la Nairobi. Slums zinacover eneo ndogo ya Nairobi. Narudia tena most Nairobians wanaishi kwenye apartments. Wewe nenda kalilie chooni kama hupendi ukweli huo.🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yes zingine mzungu anawaonea tu 😁😁😁😁😁
Upo sahihi. Dar ikijaa apartments ina maana kwamba population imepiga 15 million. Maana hamuwezi kuwa na apartments nyingi kwenye eneo kubwa na population ibaki kuwa ndogo.Basi mwenzetu anasema kwao kumejaa appartments kibao, lkn kinachonishangaza population sasa[emoji1787][emoji1787]
Iweje sasa jamani na ninavyojua mimi eneo la 1600km² likijaa appartments population haitocheza chini ya milioni kumi
Neno real Estate ni tofauti kidogo na neno apartments kwa kiasi fulani maana real estate includes apartments plus other types of properties. All apartments are real estate but not all real estate are apartments. Neno real estate kwa lugha ya yakhe kama wewe inamaana la jengo. Kwa hivyo inaweza kuinclude office buildings, malls, residential apartments na hata bungalows na mansions zote ni real estate lakini sisi tunazungumza kuhusu apartments pekee. Nyinyi inaweza kuwa kwamba mna bungalows nyingi maana kila mtu amepewa kiwanja chake na CCM cha kupandia mboga na kufugia kuku na ng'ombe. Yaani mna nyumba ambazo sio za ghorofa nyingi kushinda Nairobi.So world bank ni waongo sawa 🤣🤣👇👇
Kipindi natuma video za maboresho ya mitaa ya dsm isiyopangwa ulikua wapi kaka Simba.? Suala hilo tumeshamalizana nalo
Toa ujinga hapa. Kibra ina 200,000 people only. Hio 2.5 million umeitoa kwenye kwapa lako.2.5ml out of 5ml wanaishi kibra na zen 2.5 zilizobaki ndo wanagawana kwenye maslums mengine na kdg foreigners wanaoishi kwenye apartments.