Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado ukweli utabaki pale pale km EA kilifi ilikua haina mpinzani ndio mumepindua meza juzi..

Lkn mziki wetu mnaujua, huwaga tukipundua sisi ni miongo isiyopungua miwili kupinduliwa tena..
sasa kama Kilifi Bridge imejengwa 1990s na Mkapa bridge ikajengwa 2000s una upumbavu upi kuiita bridge ya Kilifi ni ya zamani sana? Nyie mnapindua meza lini tena? Nakuhakikishia tutaendelea kubaki juu milele! The 3.2 km Kigongo Busisi bridge itabaki juu EA milele kwa daraja la juu ya maji!
 
Hahahahaaaaa Wakenya wote naomba msome hii[emoji3][emoji3][emoji115][emoji115]
 
Sijajua about the flyover ila kwa uelewa wangu najua SGR itapita chini kama umepita gerezani utaona wamejenga zege kwenye kingo mbili hapo nahisi chini ndo reli itakuepo kama zamani
Mh sijaelewa hapa sgr itapita chini?
 
Sasa ukue mjinga juu unaishi Tanzania? Wacha kutusi watanzania. You can't post a politician's word as your evidence.
We fala kweli nmetusi watanzania kivipi, nmekwambia km hzo taarifa ni za uongo basi nioneshe bandiko toka mamlaka zenu ikikanusha na sio kuongea ugoro hapa.
 
Tunakuja kuweka lingine la urefu kwenda juu, MGR hilo kulipundua ni miongo isiyopungua miwili[emoji1787][emoji1787]
Yani tangia uhuru sisi tunaweka ndio wengine wanakuja kupindua badae tena sana, kisha huenda lisipinduliwe kabisa..
 
Sasa ukue mjinga juu unaishi Tanzania? Wacha kutusi watanzania. You can't post a politician's word as your evidence.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msamehe bro, kwao kila anachosema mwanasiasa hata km anawaongopea kwao inakua facts
 
Tunakuja kuweka lingine la urefu kwenda juu, MGR hilo kulipundua ni miongo isiyopungua miwili[emoji1787][emoji1787]
Yani tangia uhuru sisi tunaweka ndio wengine wanakuja kupindua badae tena sana, kisha huenda lisipinduliwe kabisa..
Unaujinga mwingi, Electric SGR mlianza nyie? BRT mlianza nyie? The biggest power plant mlianza nyie? 3 level interchange mlianza nyie?.
 
Yani bearth tatu ihandle 14m tons wewe unawazimu kichwani 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yani bearth tatu ihandle 14m tons wewe unawazimu kichwani 🤣🤣🤣🤣🤣
Mie nangoja nione ziki-handle hiyo maneno ngoja tusubiri tusimbishie sana! mwaka wa 10 huu kitu inajengwa...! Ninavyojua mimi Serikali ya Uhuru hamna kitu imefanya kikaenda sawa SGR ndo hivyo imeishia katikati na Lamu port mwaka wake wa mwisho huu, 2022 iyo around the corner! Hata wabishi humu ndani wanalijua hilo!

CC: Tony254
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…