Treni ya kwanza ya umeme east africa ni ya ethiopia[emoji1787][emoji1787]SGR ipi, kwa mfano mjukuu wako akikuuliza swali hili utajibu vp?
Mjukuu: Bibi eti treni ya kwnz ya kutumia umeme kwa hapa East Africa ilifanya safari yake kuanzia wapi mpk wapi?
Komora: Aahh unajuwa hakuna kitu kinaitwa treni ya kutumia umeme ila treni ni treni tu mjukuu wangu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hizo hapo mkuu,sina uhakika sana na ubora wa camera yangu sometimes inabidi kutulia tunawaachia wakali wa hizi kazi NDINDA na Icho[emoji2][emoji2][emoji2].
Hujaweka mkuu.Hizo hapo mkuu,sina uhakika sana na ubora wa camera yangu sometimes inabidi kutulia tunawaachia wakali wa hizi kazi NDINDA na Icho[emoji2][emoji2][emoji2].
Ok nmeziona mkuu.Hizo hapo mkuu,sina uhakika sana na ubora wa camera yangu sometimes inabidi kutulia tunawaachia wakali wa hizi kazi NDINDA na Icho[emoji2][emoji2][emoji2].
Nadhani na ile ya uhasibu itakuwa iko level hii hii cz zinaenda parallel.View attachment 1691023
View attachment 1691024
View attachment 1691031
Naona wameanza na nguzo kuu kwanza,wameshasimamisha upande mmoja wamehamia upande wa pili sasa,jamaa wako strategic sana hawataki kbs kusababisha foleni,hizo concrete pillars kwenye picha unaweza ziona ndogo kwa karibu ni noma sana lazima shingo inyooke kuweza kuzicover kwa macho mpk juu na hapo bado vitako.
Hapa kutakuwa na view tamu sana, kwa mbele kdg unakutana na sgr viaduct [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 1691023
View attachment 1691024
View attachment 1691031
Naona wameanza na nguzo kuu kwanza,wameshasimamisha upande mmoja wamehamia upande wa pili sasa,jamaa wako strategic sana hawataki kbs kusababisha foleni,hizo concrete pillars kwenye picha unaweza ziona ndogo kwa karibu ni noma sana lazima shingo inyooke kuweza kuzicover kwa macho mpk juu na hapo bado vitako.
Kwamba Ethiopia nayo ipo EAC[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Treni ya kwanza ya umeme east africa ni ya ethiopia[emoji1787][emoji1787]
Na bado inapumulia mashine
Umetolea mfano mzuri sana mkuu πMfano rahisi ni pale baba nyumbani anapoamua kujenga nyumba watoto hamuwezi kuishi maisha yale yale ya raha km zamani, lazima kuwe ugumu fulani wa maisha, lkn watu wanashangaza eti wanataka nyumba nzuri na maisha yaendelee kuwa matamu.
Chagua moja, baba awajengee nyumba nzuri lkn msile vzr au muendelee kula vizuri lkn msijenge nyumba, hakuna kupata vyote cz pesa hatengenezi baba yako.
Ila wakuu mwenye render ya flyover ya pale gerezani aweke hapa mana mm bado sijaelewa hyo flyover itakaa wapi pale mana pale kuna viaduct inapita so where will flyover be construed?View attachment 1691023
View attachment 1691024
View attachment 1691031
Naona wameanza na nguzo kuu kwanza,wameshasimamisha upande mmoja wamehamia upande wa pili sasa,jamaa wako strategic sana hawataki kbs kusababisha foleni,hizo concrete pillars kwenye picha unaweza ziona ndogo kwa karibu ni noma sana lazima shingo inyooke kuweza kuzicover kwa macho mpk juu na hapo bado vitako.
Pale complications zake sio za pole pole kaka,maana viaduct ya SGR imecross barabara kuu mbili halafu distance ni fupi kweli kweli kutoka katikati,noma.Ila wakuu mwenye render ya flyover ya pale gerezani aweke hapa mana mm bado sijaelewa hyo flyover itakaa wapi pale mana pale kuna viaduct inapita so where will flyover be construed?
Cc Geza Ulole
Cjui itakuwaje pale aisee ngj tuone mana washasema pale napo kuna flyover.Pale complications zake sio za pole pole kaka,maana viaduct ya SGR imecross barabara kuu mbili halafu distance ni fupi kweli kweli kutoka katikati,noma.
Drone itahusika sana hapa na ule msongamano wa miti katikati plus kariakoo kuelekea CBD wakati huo BRT itakuwa imetaradadi na treni ya kisasa pale juu ikiwa kwny motion lazima uisahau Bongo.Kumbuka kuna mchepuko wa SGR kulekea bandarini mita kama mia mbili kutoka kwny flyover ya Chang'ombe na ukienda mbele kdg unakutana na lile eneo lenye flyover ya gerezani plus cable stayed bridge la SGR mbele Tanzanite Station mbele kdg Blue Towers pembeni ocean view.Hapa kutakuwa na view tamu sana, kwa mbele kdg unakutana na sgr viaduct [emoji91][emoji91][emoji91]
Ila wakuu mwenye render ya flyover ya pale gerezani aweke hapa mana mm bado sijaelewa hyo flyover itakaa wapi pale mana pale kuna viaduct inapita so where will flyover be construed?

Sasa ukue mjinga juu unaishi Tanzania? Wacha kutusi watanzania. You can't post a politician's word as your evidence.Ww na mm nani anayeishi Tz.
πππππSGR ipi, kwa mfano mjukuu wako akikuuliza swali hili utajibu vp?
Mjukuu: Bibi eti treni ya kwnz ya kutumia umeme kwa hapa East Africa ilifanya safari yake kuanzia wapi mpk wapi?
Komora: Aahh unajuwa hakuna kitu kinaitwa treni ya kutumia umeme ila treni ni treni tu mjukuu wangu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huwez ukapata Mzee mpaka KiamaπOnesha sehemu mmejenga this kind of infrastructures ili niondoke jamii forums [emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 1690735View attachment 1690736View attachment 1690737View attachment 1690742View attachment 1690747