Rais Magufuli Ana nguvu kuliko mtu yoyote Tanzania. Neno akilisema na akilimaanisha lazima litendeke. Utaniambia kama kutakuwa na follow-up news on this issue ili tujue kama ni “maneno tu”maneno tu,unatishwa na maneno!!!
toka umeambiwa uzae una watoto kumi na ngapi mpaka sasa!!!
acha kierehere we bwege haya hayakuhusu!Kwn unafikiria mikopo kw wanavyuo duniani inapatikana tz pekeake, emu inua mikono juu umuombe Muumba wako walau akupe hata percent moja ya ufahamu mana sio kw kuwehuka hko...
Ngoja hata nikupuuze haswa, manake sio kawaida minyororo inakuhusu
Ni hasira tu lkn lazima akirudi nyumbani huenda akatafakari sana, ila huyo jamaa wenu ukuweka maendeleo pembeni ni mnoko..sema ni vile akili zake kw sasa zinamtuma aipeleke tz kw kasi ndio iwe km ulaya, lkn km sio hilo sai ingelikua anatuonyesha upande wake wa pili..Hahahaha maafisa vipenyo mara nyingi wanaonekana kama machizi kumbe ndio wakulungwa wenyewe, yaani ni hatari na nusu
Ila hapo kiukweli sio poa hata Magu mwenyewe akikaa akatulia baadae ataona hajasema vizuri
mimi nauliza magufuli kaongea kauli ngapi,na ngapi katika hizo zimetekelezwa??Rais Magufuli Ana nguvu kuliko mtu yoyote Tanzania. Neno akilisema na akilimaanisha lazima litendeke. Utaniambia kama kutakuwa na follow-up news on this issue ili tujue kama ni “maneno tu”
Kwhyo hapo kakosea nini mpka apewe ban, yani naona sasa umeamua kuja kivingine..hoja sio kupelekwa popote,hata jf inawezafungwa kwa muda,ikawa hasara na kwetu wastaarabu.
uliza 2019 sijui kama ulikuwepo hapa,sasa hivi mods hawacheki na upumbavu wa mtu,ukijichanganya tu unakula pini.
huyo ni kama aliripoti na kusepa sasa kama alkua anachukua mshahara huku na kule ajue imekula kwakeHili suala liko hivi: Kama Huyo Daktari alifuata kanuni zote za ku-transfer Hana kosa kabisa. Lakini kama aliondoka kinyemela basi kosa analo.
una kichwa kizito sana.Kwhyo hapo kakosea nini mpka apewe ban, yani naona sasa umeamua kuja kivingine..
Yan hata mods wakimfungia basi itakua jf ipo kisiasa sana
We sema tu ya kwanga unaunga mkono hayo manyanyaso
We endelea kuunga juhudi bwana minyororo..acha kierehere we bwege haya hayakuhusu!
aya em niambie je ni watu wangapi huacha kazi serkalini na kujiunga private kwa hapa tanzania?
Amekurupuka ila na wewe uwe uwe adabuMsikilizeni huyu kima
Rais wenu sometime anatoa kauli za kiboya sana, yani mpka mtu unajishtukia na kuanza kuhoji uwezo wake wa kufikiri..wewe ni nani wa kuchagua hiki aongee huyu,hiki aongee rais!!!
muuza genge anatakiwa aongee maneno haya!!anaongea akiwa anamwambia nani???
Tatizo nyongeza mkuu[emoji1787][emoji1787]Amekurupuka ila na wewe uwe uwe adabu
wewe endelea kuhoji uwezo wake wa kufikiri,si mlimwoma mwehu pia wakatia anawaambia mjifukize kuhusu corona!!!!Rais wenu sometime anatoa kauli za kiboya sana, yani mpka mtu unajishtukia na kuanza kuhoji uwezo wake wa kufikiri..
Tatizo hakuna wakuhoji wala kukemea vikali kauli km hvo, waliobaki wote ni makuro
We nenda kale kwanzawapi nimetag mods!!!
Si niliweka kauli aliyozungumza au haukuiona?mimi nauliza magufuli kaongea kauli ngapi,na ngapi katika hizo zimetekelezwa??
hii ukiiangalia kwa haraka tu,ni mazungumzo baada ya habari.but as usually wabongo hatujambo kwa kunung'unika.
we nae unataka kuaje tena mkuu?Unavyosema litashunguliliwa vizuri unatambua kuwa kuna mtu Ana hatari ya kupoteza leseni yake ya udaktari na hospitali kufungiwa? Tatizo mnafanya ushabiki wa Rais kwenye Hilo Jambo. Sio kwamba mimi simpendi Magufuli..namkubali sana, Bali natambua kuwa hakuna mwanadamu mkamilifu...hata rais hufanya makosa.
Kwanza, kama tatizo ni pesa za mkopo Kwani mtu akiajiriwa sekta binafsi pesa hazilipwi? Pili, labda kulielewa hili jambo kiundani zaidi inabidi ujiulize Kwa nini watumishi wa serikali wanakumbilia sekta binafsi. Kama maslahi ni mabovu serikalini basi serikali iingilie Kati na kufanya maboresho!huyo ni kama aliripoti na kusepa sasa kama alkua anachukua mshahara huku na kule ajue imekula kwake
by the way em jiulizeni kwa mwaka1 tuu serkal inapoteza watumishi wangapi wanaoamia private? na je hao wanaohama waltumia kiasi gani ktk kuwaongezea ujuzi?
magu yupo mbele ya muda so kamahilo ni kosa poa na kama sio kosa bas ametualat tutengeneze mfumo wa kulinda watumishi wa serkali
HAPO NDIPO NNAPOMUONA YUKO SAWA
Unaniuliza mimi?we nae unataka kuaje tena mkuu?
so neno la raisi ni sheria?
kwani ni daktari mmoja ndio kafanya hayo!!!!Si niliweka kauli aliyozungumza au haukuiona?
View attachment 1689836View attachment 1689838
Halafu, usichanganye manung’uniko na critical thinking. Wengi wetu ni mashabiki ila sio watu wenye uwezo wa kufikiri na kuchambua lipi ni Zuri na lipi ni baya. Kama nilivyosema, Raisi Magufuli Ana nguvu kuliko mtu yoyote nchi hii na lolote atakaloamua linafanyika lazima lifanyike. Kama tatizo ni maslahi ya kazi, Kwa nini yeye kama Rais asiboreshe hayo maslahi ili nafasi za serikalini ziwe more attractive and lucrative? Medicine sio kitu rahisi na kazi ya kuwasaidia watu kama hiyo inapaswa ipewe kipaumbele. Sio kusingizia kigezo cha uzalendo!