[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] endelea na vioja mimi ndiyo huyu hapa nimeketi kitako[emoji23] ata pia nimeshangaa sana beib! [emoji848][emoji848][emoji848] [emoji23][emoji23] Kenya hakuna pipeline companies, Eldoret haipo bro, kamwe, your mother is the best cook in the world[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] next....,. Dat's tanga Beib, kituo cha mafuta kikubwa nothern Tanzania kuuza mafuta Congo DRC, najua The best 007 hi hauijui [emoji23][emoji23] . Kenyans Najua nyinyi mji ili uitwe umeendelea (jiji) ni uonekane umejengwa apartment's nyingi [emoji23][emoji23][emoji23]. Kenyans you must be crazy Yosef Festo kaa na mimi usiende mbali na runinga yako [emoji23][emoji23]
Maneno mengi hapana,hicho kilevi nilishaacha,sitaki animation adverts wala data za kuandika.KUONA NI KUAMINI .Unalialia nini na kuni quote kijana?[emoji23][emoji23] fanya utafiti mwafaka., your skewed perception isikudanganye bro.,
Uri mwega...Hawa majamaa hawajui jinsi uchumi wetu ulikuwa trash taka taka ghasia kabisa wakati wa Moi. Kabla ya Kibaki kuchukua usukani, uchumi wa Kenya ulikua taka taka tu. Wanatuonanga tuko juu yao wanadhani hali ilikuwa hivyo kutoka zamani ila Kenya ilianza kupepea kuanzia 2002 ulivyosema. Tangu huyo mzee mjinga aondoke, Kenya hatujaangalia nyuma.
...through google, wengi hapa walio jifanya wamesafiri niliwaumbua, mijisifa ya uwongo peleka Chato kaka, njoo uungane na wenzako wana hustle deadly na kutuma hela Tz iwasaidie jamaa zao., [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hampendi ukweli kabisaaa.,[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haimake sens,,,,,sasa kenya kuna nini cha maana ,,,,jangwa au[emoji1787][emoji1787]
hakuna city unayoijua yeyote hapa Tz ,,asilimia kubwa ya Watanzania tulio humu tuna experience na nairobi na tumewahi kukaa,,huwa haturopoki maisha ya kwenye video tunadeal na ground life.....ambayo ndiyo real
Sio kila Mkenya ni Mkikuyu.Uri mwega...
We jamaa niliona umebeza sana .heb njo ground uone tunavyowapiga Kila kona,kelele sisi hatutaki, Post picha au video sio bla bla .Unalialia nini na kuni quote kijana?[emoji23][emoji23] fanya utafiti mwafaka., your skewed perception isikudanganye bro.,
Absolutely, a fact.But what I am happy with, there is a bright future in East Africa.
Tukiendelea hivi soon tutatisha
naona unamwaga ung'eng'e!Uri mwega...
Hebu jibu huko Lugha ya taifa hiyo huko Kenya ambapo Kiswahili ni lugha ya kabila!Sio kila Mkenya ni Mkikuyu.
Huu mradi nilikuwa siujui!. Ujenzi wa bandari ya NDUMBI ziwa nyasa . Tony254 hii Ni baadhi ya miradi ya bandari mikubwa kwenye maziwa yetu makuu .but vipo vibandar vingi vido vidogo vilivyojengwa na nyingine kufanyiwa marekebisho SITAZIPOST ispokua mkitaka
Upo mzee,JPM anapiga kazi sana. Mimi nipo Mwanza for studies lakini kuanzia nimefika 2018 nimeona miradi mingi sana inayoendelea kujengwa,let's support himHuu mradi nilikuwa siujui!
Waiting lounge za hivyo vituo vya kupandia meli mf BUKOBA ni zaidi ya hizo wanazoziita international airport uko kenya except JKIA,juzi kati nilikuepo uko nikajionea mwenyeweHuu mradi nilikuwa siujui!
CC: Tony254Waiting lounge za hivyo vituo vya kupandia meli mf BUKOBA ni zaidi ya hizo wanazoziita international airport uko kenya except JKIA,juzi kati nilikuepo uko nikajionea mwenyewe
What is a white elephant? Discuss.., (20marks)Unaita white elephat wakat phase 5 ujenzi umeanza 342km [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] naona mushaanza kuogopa bado mapema sana
hebu toa marks hapa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] bila wivu na uchungu
Naona wewe ni mwerevu umeogopa JKIA. JKIA sio ya kuchezeaWaiting lounge za hivyo vituo vya kupandia meli mf BUKOBA ni zaidi ya hizo wanazoziita international airport uko kenya except JKIA,juzi kati nilikuepo uko nikajionea mwenyewe
Hapo tunaweka Mombasa.,Niwekee ki Nairobi hapo hahaaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tafuta uone mwendo wake ulitia nanga wapi na wapi kabla ya kufika Dar[emoji23][emoji23] cruise ship inakupa orgasm[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kenya hizo hazijawai Tia nanga, huku tunaziona kwa TV tu,., Mnatisha kweli[emoji23][emoji23][emoji23], endelea bado niko..,[emoji1787][emoji1787]. Geza Ulole hiv unajua kenyans hawajuagi kwamba sio tu kwa ndege hata kwa meli watalii wanatua hapa .? . Utalii wetu pamoja na uchumi wetu unakua bhana
kimbelembele umetoa wapi? Where have u been?., Kwetu hatuna hivyo vitu., Unataka nitoe wapi?. [emoji23][emoji23][emoji1787] keep on entertaining me, nimeketi watching as I sip my black coffee,[emoji23][emoji23] nashangaa tu[emoji848][emoji848][emoji848] balaa![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Mimi sio tamaduni zangu kuongea sana. Show me pictures or videos coz kuona ni kuamini ka mkubwa,bla bla me situmii
Havipo Kenya endelea na show...Maneno mengi hapana,hicho kilevi nilishaacha,sitaki animation adverts wala data za kuandika.KUONA NI KUAMINI .
Haviko bro, Kenya bado sana, wewe umeweza na kubobea humu., [emoji1787][emoji1787][emoji23] endelea sisi ni macho na kushangaa tu[emoji1787][emoji1787][emoji23] hadi raha., expose all...,We jamaa niliona umebeza sana .heb njo ground uone tunavyowapiga Kila kona,kelele sisi hatutaki, Post picha au video sio bla bla .