Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sysytem ya uchumi ya kizamani ni tofauti sana na system ya sasa kijana.
Upo too primitive na hutaki kubadilika. Technology inabadili mambo mengi sana kwa kasi.

SA ilikuwa inakimbia sana kutokana na production ya Gold(Aurum). Lakini kwa sasa technology imebadilika. And in near future Gold yatakuwa madini ya kawaida tu maana mfumo wa kifedha unabadilika kwa kasi. Tunaingia katika digital money na siyo gold tena.

Wake up kijana.
 
Ww ulisoma hiii[emoji116] au ni kichaa kimekujaa
 
Hayo mauchumi ya karatasi ni nonesense, elite Africans washaachana nayo hayo mauchumi, now vitu on ground.

Unaniambia uchumi umekuwa kwa asilimia 7 wkt sioni hospitali zikijengwa, sioni madaraja yakijengwa, sioni barabara za kisasa, sioni maji safi na salama, sioni infrastructure baharini, sioni aviation industry ikiendelea but u tell me eti uchumi umekuwa, vipi utatengeneza ajira mpya km huboreshi hayo mambo? Vp uchumi utakuwa kiukweli km huboreshi hzo sekta? huo ni ufala wa wazungu ambao sitaki kuusikia.
 
Hizo other factors kwenu hazipo na ndiyo maana tunasema mnapika data.
 
Hiyo pia ni nchi ambayo kukosa uwepo wa wazungu ingelikuwa failed state km yenu, ni nchi ya kipumbavu yenye raia goi goi wasiopenda kufanya kazi na wenye roho mby na wivu uliopitiliza.

Yn SA without whites ingekuwa ni zaidi ya Somalia.
 
SA ni Kenya iliyochangamka.
 
Hizo other factors kwenu hazipo na ndiyo maana tunasema mnapika data.
Wewe weka hapa facts tuone Tz ni wapi na Kenya ni wapi in economic output., Hapa hakuna porojo, wacha kutapatapa na fikra zako finyu blinded by blind patriotism.,
 
Hiyo pia ni nchi ambayo kukosa uwepo wa wazungu ingelikuwa failed state km yenu, ni nchi ya kipumbavu yenye raia goi goi wasiopenda kufanya kazi na wenye roho mby na wivu uliopitiliza.

Yn SA without whites ingekuwa ni zaidi ya Somalia.
Wangekua bado ni bushmen khoi khoi na khoi San!.,
 
Imeanza kuinuka 2002 na toka mulipopata uhuru mulikua munafanya nn hebu tudanganye sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Soma vzr kwa makini nilichoandika๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 
Swali linakuja iko juu ya nn, iko juu ya kitu gani ???? Usiniambie iko juu wakat watu wanakufa na njaa huku nchi inaomba saada wa chakula ??? Zingatia hayo๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ