[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivyo vita mlipigana na nchi gani au mlipigania nchi gani....?Hizi ni wewe[emoji1787][emoji1787]
View attachment 1688111
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunazidi ata kununua vifaa
View attachment 1688112
Umekubali hii [emoji116][emoji116]kwanza., tuanzie hapoAu hii utakataa[emoji28][emoji28][emoji28]
Concern as study indicates nearly half of Kenyans poor
Concern as study indicates nearly half of Kenyans poorwww.standardmedia.co.ke
Hvi ndio vitu munashangilia leo😅😅😅😅[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndio CCM ilikuambia?[emoji23][emoji23]., Wakati mwingine chunguza kwanza., Propaganda umelishwa Hadi Basi[emoji1787][emoji1787]., hebu weka hapa total revenue ya 2019/2020 financial year na National budget then we discuss..., Please harakisha kaka
Kwenu ni more than half sasa shangaa hapo 😀😀😀😀😀😀😀Umekubali hii [emoji116][emoji116]kwanza., tuanzie hapo
View attachment 1688218
Anza kukubali hii kwanza alaf tuone nani mjinga kuliko mwenzie😀😀😀😀😀Umekubali hii [emoji116][emoji116]kwanza., tuanzie hapo
View attachment 1688218
Kwenu ni more than half sasa shangaa hapo 😀😀😀😀😀😀😀
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] nimecheka sana halafu kajipa status ys victory..nilimwuliza awali akatumia vita vya makabila ya wafugaji vya kugombea mifugo huko mount elgon na shafta war hahahahaha
JPM kawafinya wakuu wengi wa Magharibi unajua suala la Barrick gold limegusa viongozi wengi maana walikuwa na shares kwenye major European and the US stock exchanges! sasa unakuta mtu kakopa kipindi kununua shares za Barrick gold ina-make super profits huku ikitoa gawio dogo kwa GoT halafu ghafla share values zinashuka kwanini wasm-mind! kipindi cha awali ulikuwa unaweza kukopa na kulipa interest rates kwa just rise of share values! ndo maana hawaishi kumlaaani European Union parliament na mabunge ya nchi zao!Kusema ukweli Kikwete uchumi wake ulikuwa unapaa juu unafikia 6% na 7% ila hakuna maendeleo kwenye ground. Nadhani ni kwa vile alikuwa marafiki na mabeberu. Kwa hivyo Imf na WB walikuwa wanakubaliana na data yoyote inayotolewa na serikali yake. Magufuli naye akitoa data 7% Imf wanapunguza hadi 4% maana hawampendi lakini kuna maendeleo ya kufa mtu kwenye ground.
Wacha ujinga, nenda moja kwamoja tafuta Tanzania budget deficit 2020/21 utaona, huna sababu ya kupoteza nguvu nyingi, angalia ni nchi gani yenye kutekeleza miradi mingi na mikubwa kwa pesa za ndani bila kukopa, hiyo ndio ishara halisi kwamba budget deficit ni ndogo sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndio CCM ilikuambia?[emoji23][emoji23]., Wakati mwingine chunguza kwanza., Propaganda umelishwa Hadi Basi[emoji1787][emoji1787]., hebu weka hapa total revenue ya 2019/2020 financial year na National budget then we discuss..., Please harakisha kaka
Siwacheke wenzetu .tuwape pole tuKwenu ni more than half sasa shangaa hapo 😀😀😀😀😀😀😀
Covid impact ona ulivyo ovyo reasoning., U always read your thinking into Kenyan issues., [emoji1787][emoji1787] Unatamani sana iwe the unavyo fikiria wewe.,[emoji23][emoji23]pole bro., Naona wewe ni chairman kamati ya roho chafu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ww ni fala sijapata kuona hakuna kitu mulienda mchomo kama mfumo wa county governments [emoji28][emoji28][emoji28] ndio maana nimeski juzi mumepumguza pesa zinazotoka serekali ya taifa kwenda counties kisa nchi iko broke au nasema urongooooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watz tuko approximately mil 60 poor people ni 28mil, while Wakenya mko approximately 50 mil, more than half of them are poor which means more than 25 mil are poor kwahiyo hapo ukiangalia hesabu vizuri utagundua kwamba Wakenya wengi ni maskini zaidi kuliko Watz because more than half of kenyans are poor, yn km mngekuwa wengi km sisi mana ake ingekuwa Wakenya zaidi ya mil 30 wangekuwa ni maskini.Umekubali hii [emoji116][emoji116]kwanza., tuanzie hapo
View attachment 1688218
haijawahi zidi 5%!Wacha ujinga, nenda moja kwamoja tafuta Tanzania budget deficit 2020/21 utaona, huna sababu ya kupoteza nguvu nyingi, angalia ni nchi gani yenye kutekeleza miradi mingi na mikubwa kwa pesa za ndani bila kukopa, hiyo ndio ishara halisi kwamba budget deficit ni ndogo sana
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Naona umekwepa swali langu, najua unajua ukweli unatafuta vijisababu tu[emoji23][emoji23] wacha nikusaidie kaka; 2019/2020 financial year Tanzania National budget was Tsh33.2T Total Revenue collected was Tsh14.6T.,Wacha ujinga, nenda moja kwamoja tafuta Tanzania budget deficit 2020/21 utaona, huna sababu ya kupoteza nguvu nyingi, angalia ni nchi gani yenye kutekeleza miradi mingi na mikubwa kwa pesa za ndani bila kukopa, hiyo ndio ishara halisi kwamba budget deficit ni ndogo sana
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
kuchapia matamshi ni kawaida tena sana,hata huyo wenye lugha yao ya english huwa wanachapia....Kama baadhi yenu mnashindwa kutamka maneno ya kiswahili vizuri basi mbona mnajidai kwamba nyinyi ndio mnajua kiswahili kushinda wengine? Mjifunze kutamka maneno vizuri kwanza ndio mjidai
A fallacy in reasoning [emoji1787][emoji1787][emoji23] why do u embarrass yourself hivi?.,Watz tuko approximately mil 60 poor people ni 28mil, while Wakenya mko approximately 50 mil, half of them are poor which means 25 mil are poor kwahiyo hapo ukiangalia hesabu vizuri utagundua kwamba Wakenya wengi ni maskini zaidi kuliko Watz because half of kenyans are poor, yn km mngekuwa wengi km sisi mana ake ingekuwa Wakenya mil 30 ni maskini.
Hii ni dhambi kubwa sana kwa serikali na viongozi wa Kenya.
Mutasingizia kila kitu covid impact wakat budget deficit imevuka 1trillion ksh😅😅 alaf mko hapa munaimba GDPCovid impact ona ulivyo ovyo reasoning., U always read your thinking into Kenyan issues., [emoji1787][emoji1787] Unatamani sana iwe the unavyo fikiria wewe.,[emoji23][emoji23]pole bro., Naona wewe ni chairman kamati ya roho chafu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nani Huyo Hana,sema hapa😂😂😂Mnanunua vifaa vya vita na hamna unga ndani[emoji23][emoji23]
Hilo ni tatizo la planning na halina uhusiano wowote na Gdp. Wizara ya fedha ya Kenya ndio ina planning mbaya ya matumizi na wameshindwa kupunguza expenditure au kuongeza revenue. Hilo ni tatizo mbaya la planning maana huwezi kutumia pesa nyingi kushinda mapato yako. Kwa hivyo hakuna haja ya sisi kuongea kuhusu Gdp. Tuongee tu kuhusu planning mbaya ya wizara ya fedhaSasa utapangaji matumizi bila kulinganisha na kipato chako?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Nyie number ni kubwa Sana nchi ya asali na maziwa eti!, Rotuba kote kote! Madini chungu nzima! Kama si laana hii itakua upumbavu umechanganishwa na ujinga.[emoji1787][emoji1787] Kigezo cha kupima ni kile cha LDC[emoji1787][emoji1787]walai wakitunlmia ya lower mido income si mtakua 90%[emoji23][emoji23][emoji23]Tu
Siwacheke wenzetu .tuwape pole tu