nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,127
- 1,839
na hiyo GDP fake is just a matter of time, sasa kama taifa agenda yetu kuu ni uchumi tu, mengine ni ya ziada,tunataka tuelekee uchumi wa kati wa juu kwa kishindo.Kuna mambo mengi sana tumewazidi kuanzia baharini mpk nchi kavu, kitu kilichobaki ni kimoja tu ambacho kinawapa nguvu nacho ni GDP ushuzi inayonuka madeni basi, tukibadilisha hyo hamtakuwa na cha kuongea, tupo mbali mno kwa ss.
Budget haina uhusiano wowote na Gdp.Budget Ksh 3trl
Total revenue collection 1.6trl
Budget deficit 1.4trl
Where is GDP?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kuna mkunya mwenzenu anadai Kikwete alikua anajenga nchi zaidi ya Magufuli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kenya is more developed ila in the last 5 years mumeziba gap kishenzi. Mkiendelea hivyo basi tutakuwa matatani.
Dhibitisha hapa weka economic output hapa kwa sasa nione! Anza na annual revenue ya serikali tukufu ya muungano wa Tanzania. income ya Ports? Airports?, retail? Exports?(Anza na balance of trade between Kenya na Tz) before uweke total income, manufacturing, telecommunications, banking sector etc. Wakati wa porojo na propaganda uliisha, na pia usiseme WB wanawaoneaga., Mwaga facts haraka upesi..,Kuna mambo mengi sana tumewazidi kuanzia baharini mpk nchi kavu, kitu kilichobaki ni kimoja tu ambacho kinawapa nguvu nacho ni GDP ushuzi inayonuka madeni basi, tukibadilisha hyo hamtakuwa na cha kuongea, tupo mbali mno kwa ss.
Tunawafundisha kiswahili humu na bado mnaleta zarau, wewe mwenyewe ulikuja humu ukiwa hujui kabisa kiswahili lkn nowadays unajitahidi lkn bado husemi asante.Kama baadhi yenu mnashindwa kutamka maneno ya kiswahili vizuri basi mbona mnajidai kwamba nyinyi ndio mnajua kiswahili kushinda wengine? Mjifunze kutamka maneno vizuri kwanza ndio mjidai
Nyinyi mumeingia uchumi wa kati wa chini juzi hata hamjamaliza mwaka moja na mumeanza kuturingia ilhali sisi tumekuwa uchumi wa kati kwa miaka saba sasa na wala haturingi kama nyinyi.na hiyo GDP fake is just a matter of time, sasa kama taifa agenda yetu kuu ni uchumi tu, mengine ni ya ziada,tunataka tuelekee uchumi wa kati wa juu kwa kishindo.
Hahahahhaaa mara nyingi tu huwa wanasema hivyo, c hawampendi Magu [emoji3][emoji3][emoji3]Kuna mkunya mwenzenu anadai Kikwete alikua anajenga nchi zaidi ya Magufuli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Sasa utapangaji matumizi bila kulinganisha na kipato chako?Budget haina uhusiano wowote na Gdp.
We kweli huna idea na unacho kizungumzia mara ya mwisho Bunge lenyu limezungumza Kiswahili lini tuanzie hapo?Kama baadhi yenu mnashindwa kutamka maneno ya kiswahili vizuri basi mbona mnajidai kwamba nyinyi ndio mnajua kiswahili kushinda wengine? Mjifunze kutamka maneno vizuri kwanza ndio mjidai
Khaa! Hii picha nitaiweka kama background ya computer yangu iwe kama energizer pale ninapokuwa nimechokja au bored!Huyu anapatikana wapi?
Hivi nani vile walikuwa wanaitukana Tz kwmb ni LDC? Ebu nikumbushe alafu urudie tena hyo statement yako ya kusema hamringi.Nyinyi mumeingia uchumi wa kati wa chini juzi hata hamjamaliza mwaka moja na mumeanza kuturingia ilhali sisi tumekuwa uchumi wa kati kwa miaka saba sasa na wala haturingi kama nyinyi.
Tanzania ni Dar es Salaam, outside mnalazolimisha tu kwa vile hampendi aibu, though Kuna maendeleo Tz sipingi ila bado hamjafika level ya Kenya licha ya mapungufu yetu, na ujue nchi nyingi za Africa zinaendelea kwa speed kama wewe no msafiri utakubaliana nami lakini ila tu are not quite publicized. Nyie propaganda inawafumba macho., just because mumejaza mtandao na taarifa za Tz haimanishi Kenya maendeleo hayapo. County govt system ilituletea ukombozi kwa kiwango flani.,Ukiongelea Kenya unaongelea Nairobi ila Tz maendeleo yametawanyika hata nyie mlio humu mmeona.
tuna mipango na potential nyingi ambavyo hamna na hii siyo kuwaringia bali ndio ukweli mchunguNyinyi mumeingia uchumi wa kati wa chini juzi hata hamjamaliza mwaka moja na mumeanza kuturingia ilhali sisi tumekuwa uchumi wa kati kwa miaka saba sasa na wala haturingi kama nyinyi.
Lugha ni grammar na vocabulary, sio pronunciation. Wakenya hamjui Kiswahili kabisa, huwa ninashangaa haya maneno ya wakenyaKama baadhi yenu mnashindwa kutamka maneno ya kiswahili vizuri basi mbona mnajidai kwamba nyinyi ndio mnajua kiswahili kushinda wengine? Mjifunze kutamka maneno vizuri kwanza ndio mjidai
Huwa nashangaa sana mnalinganisha Ka-Nairobi na Li-Dar es salaam city. Ndio maana wenzenu wakifika huku Tz huwa hawapendi kurudi huko Kenya.Tanzania ni Dar es Salaam, outside mnalazolimisha tu kwa vile hampendi aibu, though Kuna maendeleo Tz sipingi ila bado hamjafika level ya Kenya licha ya mapungufu yetu, na ujue nchi nyingi za Africa zinaendelea kwa speed kama wewe no msafiri utakubaliana nami lakini ila tu are not quite publicized. Nyie propaganda inawafumba macho., just because mumejaza mtandao na taarifa za Tz haimanishi Kenya maendeleo hayapo. County govt system ilituletea ukombozi kwa kiwango flani.,
Kusema ukweli Kikwete uchumi wake ulikuwa unapaa juu unafikia 6% na 7% ila hakuna maendeleo kwenye ground. Nadhani ni kwa vile alikuwa marafiki na mabeberu. Kwa hivyo Imf na WB walikuwa wanakubaliana na data yoyote inayotolewa na serikali yake. Magufuli naye akitoa data 7% Imf wanapunguza hadi 4% maana hawampendi lakini kuna maendeleo ya kufa mtu kwenye ground.Kuna mkunya mwenzenu anadai Kikwete alikua anajenga nchi zaidi ya Magufuli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
And yet [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]Tanzania ni Dar es Salaam, outside mnalazolimisha tu kwa vile hampendi aibu, though Kuna maendeleo Tz sipingi ila bado hamjafika level ya Kenya licha ya mapungufu yetu, na ujue nchi nyingi za Africa zinaendelea kwa speed kama wewe no msafiri utakubaliana nami lakini ila tu are not quite publicized. Nyie propaganda inawafumba macho., just because mumejaza mtandao na taarifa za Tz haimanishi Kenya maendeleo hayapo. County govt system ilituletea ukombozi kwa kiwango flani.,
Ukweli mchungu [emoji3516][emoji3516][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huwa nashangaa sana mnalinganisha Ka-Nairobi na Li-Dar es salaam city. Ndio maana wenzenu wakifika huku Tz huwa hawapendi kurudi huko Kenya.
Tony huwa ni mkweli cku zote japo genes za ukunya huwa zinamuharibia [emoji3][emoji3][emoji3]Kusema ukweli Kikwete uchumi wake ulikuwa unapaa juu unafikia 6% na 7% ila hakuna maendeleo kwenye ground. Nadhani ni kwa vile alikuwa marafiki na mabeberu. Kwa hivyo Imf na WB walikuwa wanakubaliana na data yoyote inayotolewa na serikali yake. Magufuli naye akitoa data 7% Imf wanapunguza hadi 4% maana hawampendi lakini kuna maendeleo ya kufa mtu kwenye ground.