Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naamisha Maji ya Matumizi ya Nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejibu swali tofauti na uliloulizwa. Umeulizwa je, huwa mnakunywa tope!?
 
Hii kitu italeta mapinduzi ya ukweli...hapa wawekezaji watatukimbilia wenyewe
 
Phase 3 wampe mu austria strabag aliyejenga phase 1

Ikiwezekana watangaze hata mbili kwa mpigo phase 4 nayo ianze

Waboreshe huduma za phase 1 pia kwa kuongeza magari na kurudisha system ya card
Strabag na huyu mchina ni mbingu na ardhi. Hawa wachina wanaungaunga balaa.
 
Nani alikuambia kwamba wao sio kabila? Njoo Kenya uwaone.
Kwa Kenya kila kitu kinawezekana japokuwa Kiswahili kimetokana na muingiliano wa kibiashara kati ya Waarabu na Wabantu wa coast, hawa jamaa wamepewa kabila kule kenya! usishangae babu yaani ni kama siye tuamue Wazaramo, Wakwere, Wangazija wawe na kabila la Waswahili!
 
Hata sisi pia hatujui mengi kuhusu nchi zingine, tumejikita na mambo yetu tu, hizi ***** ***** unazoziona mlianza nyie baada ya kuanza kufatilia maisha yetu na ndiyo maana ukafunguliwa huu uzi, soma maneno ya mwanzo kabisa aliyoanza kuandika Annael ambaye ndiye mfungua huu uzi utaelewa kwmb nyie ndiyo mliotaka hii battle.
 
Sisi tumejikita kwenye umeme wa maji na gesi.

Magu haamini katika gas.. katika utawala wake hautasikia eti kuna powerplant nyingine ya Gas itajengwa! katika utawala wake power plant za maji tu ndo zitajengwa... labda wawekezaji ndo wajenge hizo gas power plant na sio serikali chini ya Magu
 
Nani alikuambia kwamba wao sio kabila? Njoo Kenya uwaone.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah!!!!! huu niujinga wa hali ya juu unajihaibisha chief

ila twende taratibu
neno mswahili linatokana na nini.....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…