MV Butiama inafanya kazi tayari. Meli hiyo mv mwanza . Kivuko Cha mv ukara . Mv kazi dsm kivuko cha mv kilindoni mafia . Kivuko Cha mv mwanza kivuko Cha mv ilemela kivuko Cha mv uka II . Mv butiama mbioni kukamilika. My take Tony254 ukiona tunanunua ndege kwa cash haimaanishi kwamba vitu vingine haviendi,hela ipo bro haya kwa leo inatosha siku nyingine nitakuonyesheni zaidi ya hapo
Hii Ni geothermal ama?. Kinyerezi 2 power plant. 240MW ukiachilia umeme wa maji pia tunazalisha umeme wa gesi. Kenyans je mlikua mnajua.?
Dodoma itakua babkubwa ndani ya miaka 10 ijayo....itafunika miji mingi sana Africa!! Sisemei ukanda huu pekee yake...Taswira halisi itaonekana miradi ya airport ring roads na highways zikishakua tayari...sambamba na mapinduzi ya mji a serikali kutaiva sana. Dom yetu . I bet after five years Dom will be in the top three list of most developed cities in EA
Spidi Yao ya ujenzi si ya kawaida! Kwa spidi hii mwezi mmoja tu wangejenga Uhasibu flyover na Chang'ombe flyover ambazo nazo zinajengwa na wachina ila wako so slow!Huuuh,hii expressway si Ni tamu😋😋
View attachment 1686945
Asante.
Kumbe kilwa road nao hawajaachwa nyumaSpidi Yao ya ujenzi si ya kawaida! Kwa spidi hii mwezi mmoja tu wangejenga Uhasibu flyover na Chang'ombe flyover ambazo nazo zinajengwa na wachina ila wako so slow!
Wewe ndio una wazimu. Hapo ulipochora mshale wa samawati itakuwa ramp. Hapo ndipo magari yatakapopanda ili kujiunga na barabara ya juu ya expressway. Na itakuwa lami. Mbona hata nyinyi ubungo flyover pia mna ramp au unataka kujifanya kwamba hujawahi kuona ramp kwenye ubungo flyover?Una wazimu auu? Hapo uweke lami afu iweje [emoji116][emoji116]View attachment 1687020