Mm nilifkiri mawazo yake ataenda msaidia rostich kupambana na madeni ambayo hayatalipika mpaka yesu ashuke 🤣🤣🤣nchi inasubiri investment ya $30 bln in LNG ukiacha another +$20 bln in in stategic minerals ukiacha $3.5 bln EACOP halafu unaiambia isiwe na airline yake! Kweli?
Tony254 wacha ufala jaribu ku-concentrate na madani yenu ambayo hayalipiki!
Leo hii unasema hatujajenga km ya 2 reli uko mzima mzee au kichwa kidogo kimechukua nafas ya ubongo🤣🤣🤣🤣Hata kilomita mia mbili wameshindwa kujenga halafu wanakuja huku kutupatia lecture. Hahaha. The guts of the people.
Wengine walalahoi tu, huyu a naomba mchango wa kurepair pub yake huko uswahiliniAfrican america wanaorepatriate Tanzania kama serikali itataka kuwatumia kuna kitu kikubwa tutapata kutoka kwao,jamaa wametokea kuikubali sana nchi yetu kwa jinsi sisi wenyewe tunavyoishi
Hii si ile speed boat toka Bangladesh JPM aligawa kwa jeshi!. Mapema tu
Nairobi tu mzungu akipita CBD watu wote wanamgeukia kumshangaa, akipanda matatu kila mkenya anataka kumsalimia,Tatizo la wakenya mnapenda kuwatetemekea sana weten lazima wawaone kuwa nyie ni manburura na kingine kuwa hao wahindi na warabu ni raia wa tz hata ukienda Iyenze kahama utawakuta hata utawaonea huruma wanalima mpunga sana na wala hatuwabagui ni raia wwa tz
Sisi tuna local routes zisizopungua 13 na by the end of this year ita-rise mpaka btn 18 and 20! The number Miaka yote KQ haijawahi fikia! Saahii KQ ina local routes chini ya 10!Hahaha. Nyinyi pia mnakurupuka kama wao tu. Hakuna tofauti kati yenu na wao.
Hehehehee leo umewapiga sindano sn.
Hii speed wakuu ni noma sana, mambo mengine hata siyajui nakuta yashafanyika [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Mapema tu
Utafanya waache kupost [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Source as usual[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1686812
Hii nchi inajengwa mpk naogopa [emoji3][emoji3][emoji3]
we endelea kuwaenjoy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanasahau Haraka sana....
Yaani kwa speed hii 2025 hawafiki wanakuja kuomba msaada TZ haiwezekani mtu anatumia hela ovyo alafu anawadanganya bado wanakubali...
Kuna mmoja anasema wana 2900MW lakini cha ajabu bado anasema sio reliable wakati matumizi yao nchi nzima hayafiki 1500MW.
Viwanda hawana vya kusema vinatumia umeme wote huo... Inawezekana wao kila 1MW wanazidisha mara 2.
Hiyo ya 100MW ukute ni 50MW
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani leo ndio nimeeamin huwa wanafoji data...we endelea kuwaenjoy
Mbona majibu yapo wazi tu ni vile nyie mumeshaamua kujitia utahira tuLet me ask you bro,why did you chose disel locomotives over electric trains?What happened?
Sema wanaagiza Mchele mwingi kutoka nje alafu hawazingatii ubora unakuta sijui Pakistani,Thai, Vietnamese etc Michele reject kutoka mataifa ya nje Kenya ndo zinafikiaga,kama sehemu za kulimia hazifiki Tano hata🙂 kupiga ubwa bwa wa quality ya juu Kenya ni mtihani 🙂Kenya bila Tanzania hakuna nchi itakayoitwa kenya tena duniani hilo mnalijua nina ndugu zangu huko kenya nikisena naenda kuwapa salam kitu cha kwanza ni mchere wanataka maake kuupata kenya ni ghali sana kwa mtu wa maisha ya kawaida