Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mlifanyaje mkaiteka market ya Russia na Ukraine? Ni marketing tu au kuna la jambo lingine?
Hao traditionally walikua wanakwenda Turkey, Greece na Cyprus lakini mambo ya siasa nyingi huko Europe yamewafanya waje kwetu which is a best destination cheaper at a cheaper price point.

Ndio imetoka hio, na hao jamaa wana hela za kufa mtu, si unajua Roman Abromavich?
 
We mpuuzi tu yani unaleta mifano ambayo huielewi...
Kwhyo wajerumani nao tuwaite geraman people kisa wanaongea kijerumani
 
hilo ndiyo tatizo lenu,,,,

yaani kauli zako mwenyewe tu zishajenga tabaka ,,,kwanini uongelee uafrika na uhindi au hao si wazawa wa kenya...?

hao wanaishi kulingana na nyie jinsi mlivyo yaani kama nyie mnaishi kibaguzi kwa kujiita waafrika nao kuwaita wahindi nao ndiyo wanaishi hivyo hivyo.....
kama kimakabila tu mnabaguana sembuse wakenya wenye asili ya out countries......mnasafari ndefu sana ya kujibadilisha kimitazamo mpaka fikra,,,

hiyo ndiyo tofauti kubwa baina ya tanzania na kenya
 
Hapa naona umeibua maswali mengi mno.

Ujue mimi ni mfuasi mzuri sana wa philosophy za Socrates.

1. Unaposema kwamba tungenunua ndege chache, NENO chache maana take ni nini!? Ni ndege ngapi zinakuwa counted kuwa ni chache!? Kwani hizo ndege tulizonunua ni nyingi!?

2. Kitu cha pili ninachotaka kujua kutoka kwako Je ni lazima tupitie path walio pitia Ethiopia!? Kwa sababu Ethiopia walianza miaka ya 1950s basi na sisi tuende taratibu kama wao walivyoanza miaka ile. Yaani unataka kututisha siyo!?

Kumbuka mambo yamebadilika sana, Technology inakuwa kwa kasi, civilization inaongezeka, uhitaji wa kusafiri na utalii unaongezeka. Kwa idea yako hiyo nina kataa kata kata.

3. Je, unataka tujifunze makosa waliyofanya wakenya!? Sisi hatujifunzi makosa bali tunaenda seriously. Tunaangalia opportunities tulizonazo, na tunafanya namna gani ya kuzitumia. Tatizo la shirika la ndege la Kenya ni kufanya mambo kwa ujanja ujanja na kutegemea market kutokana na hali ya nchi zingine. Kufanya ujanja ujanja huku huna kitu cha kuchangia kwenye dunia.

4. Nadhani wewe ni mtu wa Account sidhani kama unaelewa hata revolution ya uchumi inayoendelea kwa sasa. Uchumi wa sasa unapoelekea ni wa technology, adventure and Partnership. Kama huna hakuna atakaye kuja kwako. Kama ndege uponazo za maana utapata partners serious.

Kwanza naanza hivyo.
 
nchi inasubiri investment ya $30 bln in LNG ukiacha another +$20 bln in in stategic minerals ukiacha $3.5 bln EACOP halafu unaiambia isiwe na airline yake! Kweli?

Tony254 wacha ufala jaribu ku-concentrate na madani yenu ambayo hayalipiki!
 
Lazima niseme wewe unafikiria negative because:-
1. Kwani kununua ndege 2 unadhani hakukua na plan ya kufanya!?

Kulikuwa na plan tayari ya kwenda China na Bangkok Thailand. So corona ilipoingia safari za ndege zilikataliwa. Sasa unategemea tungefanya nini!? Na shirika mengi tu makubwa ndege zilisitisha safari zake.

Mimi sioni hata unacholalamikia. Ndio maana ninasema upo na negative thinking.

Ingekuwa kweli ndege zimenunuliwa na hakuna tatizo lolote lilotokea dunia na zimepaki tu, hapo tungekuwa na haki ya kulaumu.

Sasa wewe shirika la ndege lipo na safari na mwezi wa pili kuna safari ya kwenda China bado unalalamika tu. This is childish ideas.
 
wahuni wapo kila nchi,niliwahi kwenda german ila kwa masuala ya kikanisa kipindi hicho nilikuwa muimba gospal ,mwanakwaya tukapata invitation ,,,,,
tulienda kichwa kichwa dereva tax alitupiga ,,mwisho wa siku wakati wa kurudi kuelekea airport uzuri wake tulipanda tax hiyo hiyo na jamaa nilimkariri sura nikashangaa pesa inatolewa ndogo hapo ndipo nikagundua kuwa alitupiga ikabidi nianze kumchokonoa dereva jamaa aliniruka....


hivyo ukigundulika kuwa wewe ni mgeni taifa lolote lile wanakupiga otherwise uingie supermarket ambayo price inakuwa tiyari ishaandikwa
 
Sio anadanganya, ni kweli kabisa Tony huwezi amini
mtalia sana na hata watoto wenu watalia kwa Tanzania hii, ambacho kenya hamkijui ni kuwa wakati mnajaribu kuijenga kenya Tanzania tulikuwa buzzy na liberation wars. Wakenya hamkutumia akili yoyote kuwin masoko ya Tanzania, uganda etc. na hivi hivi ndivyo mtakavyoyaachia masoko yetu.
 
Hapo zile pangaboy zetu zitakua zinawakusanya huko kwingine halafu wanatransit JNIA direct to mumbai,good idea hii
 
Warusi wamewekeza pesa nyingi mno cyprus,biashara nyingi wamekamatia wao,ni wakati kuwavutia waje kuwekeza na Tanzania sasa
 
Amedanganya!!!!!
..we unajitambua kweli..!!watu kama nyie ni mzigo kwa bara letu la afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…