Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sioni maajabu maana ndege karibia zote ni za ndani na kote pako bize
Screenshot_20210124-095149_Flightradar24.jpg
 
Hio Ni just part of Westlands,,GTC hakuna so huwezi sema Ni Westlands yote
Uhehehhehehrheh so say westland also hakuna mtu mutamdanganya hapa 🤣🤣🤣na sehemu GTC ipo ni sehmu ndogo ambayo haiko mbali na CBD au nasema urongoo🤣🤣
 
Hakuna hotels hapa ni sehmu residentials tu🤣🤣🤣👇👇👇👇






 
Mambo matamu hayooo👇👇👇 via duct
View attachment 1684703View attachment 1684704
lazma jamaa waje kwa ajili ya zile trip zao za Benchmarking! Raila alishakuja...
BTW naona Governor wa Nairobi county akiimwiga Jafo kwenye ujenzi wa hospitali japokuwa anajenga 20 wakati Jafo kajenga zaidi ya 400 nchi nzima! Ngoja tuone quality ya hopsitali za nairobi zitakuwaje!

The funny thing out of those 20 promised in Nairobi only 3 r U/C so far!



CC: Tony254
 
Mbona jengo lenu la terminal 3 JKIA cladding imetoka Tanzania na imefanywa na kampuni ya Tanzania? BTW hili jengo halitakuwa na milango ya medieval era kama JKIA!


View attachment 1684706

Huwa wanakuja kututambia wametujengea TPA na Bunge [emoji23] Hawajui kwamba tunapeana mashavu kupiga Hela.

Great work by Tanzanian for Kenya.

IMG_5002.jpg



IMG_5003.jpg
 
Hivi hayo mengine ndio yale Maputo ya Internet?
Google imesema mradi umeleta hasara maana wakazi wa huko hawawezi ku-afford smartphones! wako njiani kuyaondoa!

“The communities in areas too difficult or remote to reach, or the areas where delivering service with existing technologies is just too expensive for everyday people. While we’ve found a number of willing partners along the way, we haven’t found a way to get the costs low enough to build a long-term, sustainable business. Developing radical new technology is inherently risky, but that doesn’t make breaking this news any easier.”


CC: Tony254, komora096 n kikihboy
 
Luanda, Angola
images (3).jpeg

IMG_20210122_214403.jpg


Lesson no1 coastal cities should face the sea not backwards. Look at this mess below, no beach road just random building.
images.jpeg
images (4).jpeg
 
Back
Top Bottom