Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Roho mnayo mbaya. Bado mnatuchukia. Sema tu hamkuwa na mashine ya kufabricate hivyo vyuma. Ikabidi mje Kenya shingo upande.

Geza Ulole
Hvi kati ya tanzania na kenya nani anaroho mbaya hvi unafkiri tanzania ingekua na roho mbaya hzi nchi zingine zingepata uhuru kwa wakat ule???😁😁😁 sio nyinyi wenye roho mbaya mkaamua kujitenga kivyenu
 
Hvi kati ya tanzania na kenya nani anaroho mbaya hvi unafkiri tanzania ingekua na roho mbaya hzi nchi zingine zingepata uhuru kwa wakat ule???😁😁😁 sio nyinyi wenye roho mbaya mkaamua kujitenga kivyenu
Kenya iliamua kuwa collaborator wa Wakoloni! Yaani by choice waliamua kuwa Puppeteer nation! 😀 😀 😀 ☝️ 🤣
 
Ziko wapi GTC towers 😂😂
Hapa ni wapi???🤣🤣🤣🤣🤣 Au nasema urongoooo
C44AA7DA-EE3D-455C-ABD2-802F65DDF53A.jpeg
 
Back
Top Bottom