Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,705
- 107,150
leta evidence nakuhakikishia hamna JKIA kama yale magofu yenyu ya SGR!Kama ni automatic tu unataka basi hizo haziwezi kosa kwenye new terminal japo sijafika huko.
leta evidence nakuhakikishia hamna JKIA kama yale magofu yenyu ya SGR!Kama ni automatic tu unataka basi hizo haziwezi kosa kwenye new terminal japo sijafika huko.
Jinsi nilivyo anza??? Me I have just defined three things coz that's what I will use in the code wewe kuna more than six things you defined zenye hazitumiki meaning the code umefuta some stuffJinsi ulivyoanza tu umefanya makosa. Nimekuambia leta swali nikufanyie sasa hivi. Na kama unataka kujifunza naweza kukufundisha.
I may be wrong but ninavyojua hakuna university yoyote Africa inayofunza bachelors degree ya cosmology. Kwa hivyo unajaribu kutuambia kwamba ulisomea Europe au America?Sasa ukijua chuo nilichosoma itakusaidia nini? Kwani wewe chuo ulisomea wapi?
huyo jamaa ni nyoko nimemu-ignore! Ni wale wanaingia kwenye platform na munkari then after some days baada ya vitasa wanajikuta ni watupu kuliko maelezo!Hujui chochote usinipotezee muda.
Hajawahi kusoma Czech huyo mkuu, amesoma Kunyaland mpk hapo alipofikia.huyu fala hiyo elimu ya Czech inamsumbua kinoma asijue kuna watu wamepitia vyuo vya maana humu ndani!
Mbona malalamiko mengi sana. Wewe umeshindwa.Jinsi nilivyo anza??? Me I have just defined three things coz that's what I will use in the code wewe kuna more than six things you defined zenye hazitumiki meaning the code umefuta some stuff
Honestly this three lines ni za nini???? Tuwe tu wakweli hehe meaning mahali ukitoa code ilikua refuses kiasi but uka edit imebaki ya time tu.....
1.using System.Data;
2.using System.Drawing;
3.using System.Linq;
Huyu jamaa anakaa hivyo!Hajawahi kusoma Czech huyo mkuu, amesoma Kunyaland mpk hapo alipofikia.
Mimi sijui kama ipo ama haipo. Na wala hainikoseshi usingizi maana kuinstall sensor ni jambo ndogo sana. Hata ni a cheap exercise na haichukui muda mrefu. So hata kama haina sensor sio tatizo. Nyinyi kuwa na sensor imewasaidia kivipi?leta evidence nakuhakikishia hamna JKIA kama yale magofu yenyu ya SGR!
Ukiangalia hiyo picha vizuri kuna more than 10 tabs za open projects am still working on that should tell you its something I do and dont have to edit code to write a simple time displayBuda we endelea kuedit templates tu, ukipiga loops namna hii hiyo system si itakua majanga
Wewe jamaa unamaswali ya kitoto sana. Nimekuambia nimesoma cosmology. Ukauliza maswali nikakujibu. Sasa hivi unauliza chuo nilichosoma ili iweje sasa. Unataka kunifuatilia? Mwisho wa siku utaniluliza mke wangu ni nani.I may be wrong but ninavyojua hakuna university yoyote Africa inayofunza bachelors degree ya cosmology. Kwa hivyo unajaribu kutuambia kwamba ulisomea Europe au America?
Sikusema hivyo. Utakuwa unazungumza kuhusu mtu mwingine.Sio wewe jana ulisema wakenya ndio wanaongoza kutaza na kufuatilia mziki wa Tanzania? 😔
Sisi hatuhitaji tabs kijana tunahitaji kazi ionekane. Mbona unanikwepa. Wewe ndio unajifunza upo chuo. Kama unataka kujifunza kweli programming kijana hii kazi haitaki ujanja ujanja utafungwa.Ukiangalia hiyo picha vizuri kuna more than 10 tabs za open projects am still working on that should tell you its something I do and dont have to edit code to write a simple time display
Sio mdomo tu. Start-ups zetu zinaraise the highest amount of money in Africa. Hata kushinda SA na Nigeria. Muulize Geza Ulole atakuambia.Ni kupiga domo ndio kumewasaidia but nakuhakikishia TZ tuko vizuri kuliko nyinyi just like the case of GDP
Mimi sijui kama ipo ama haipo. Na wala hainikoseshi usingizi maana kuinstall sensor ni jambo ndogo sana. Hata ni a cheap exercise na haichukui muda mrefu. So hata kama haina sensor sio tatizo. Nyinyi kuwa na sensor imewasaidia kivipi?
Mention themSio mdomo tu. Start-ups zetu zinaraise the highest amount of money in Africa. Hata kushinda SA na Nigeria. Muulize Geza Ulole atakuambia.
start ups ni mikopo and Kenya is known for mikopo!Sio mdomo tu. Start-ups zetu zinaraise the highest amount of money in Africa. Hata kushinda SA na Nigeria. Muulize Geza Ulole atakuambia.
Kwa hivyo umekataa kujibu? Sawa basi. Andika equations mbili za cosmology halafu uexplain meaning ya hizo equations kwa undani. Nimekupa 30 minutes. Unaweza gugo ukitaka.Wewe jamaa unamaswali ya kitoto sana. Nimekuambia nimesoma cosmology. Ukauliza maswali nikakujibu. Sasa hivi unauliza chuo nilichosoma ili iweje sasa. Unataka kunifuatilia? Mwisho wa siku utaniluliza mke wangu ni nani.
Niandike equation tena? Jamaa yako Simba 254 kaishia mitini.Kwa hivyo umekataa kujibu? Sawa basi. Andika equations mbili za cosmology halafu uexplain meaning ya hizo equations kwa undani. Nimekupa 30 minutes. Unaweza gugo ukitaka.