Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunaiita tsavorite huku Haitwi tanzanite
Tsavorite zipo ata tanzania ... lindi huko sasa sijui una ongea nini.. na tsavorite ni type ya garnets while Tanzanite ni type ya zoisite.. vitu viwili tofauti kabisa.. danm.. wakenya jamani mbona some of yall ni wajinga hvyo? It's so alarming
 
Send me your website.
 
Lazima Uongee na matusi??? Nani alikua anidanganya kitambo nikiwa mdogo eti watanzania ni wakarimu hehe vile nimekua mkubwa na nikawajua nimegundua kumbe ni hooligans 🤣🤣🤣
Tsavorite zipo ata tanzania ... lindi huko sasa sijui una ongea nini.. na tsavorite ni type ya garnets while Tanzanite ni type ya zoisite.. vitu viwili tofauti kabisa.. danm.. wakenya jamani mbona some of yall ni wajinga hvyo? It's so alarming
 
Tofaut ya newyork na nairobo au dar ni moja tu

newyork is developed city while nairobi and dar are developing city kataa kubali [emoji1787][emoji1787]

newyork hawazungumzii njaa wala maji wala huduma ya afya hio ndio tofaut yetu najua umeelewa
Naona unatafuta pa kutoka[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwn developed cities pekee ndio zina uhalalali wa kukaa watu zaidi ya milioni kumi lkn shithole tanzania ndio hairuhusu[emoji23][emoji23]

Hapo huwezi leta manake utaumbuka na research yako uchwara
 
Sasa mbona umepanic SGR muda sio mrefu manake ni white elephant sasa hvi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwaka wa tano huu tunaelekea na vyuma vinapiga kazi hku wengine mwaka wa nne huu bado wanapiga domo
 
Kwani hapa kuna nini ngumu? Gdp per capita inategemea unatumia data gani. Chukua Gdp ya Kenya ambayo latest figures ilikuwa $98 billion in 2019. Chukua population ya Kenya ambayo census ya 2019 ilisema ni around 48 million. Halafu divide hizo mbili. Gdp per capita ukichukua population ya 48 million itakuwa above $ 2,000. Lakini kabla ya census`watu wengi walikuwa wanafikiri population ya Kenya kuwa ni 52 million. Ukitumia population ya 52 million basi Gdp per capita inapungua hadi around $1,800.
 
Mzee either your cheating your population or your GDP.
Calculation hazikai sawa hapa
 
I want to analyze your website send me.

1. Website does not have SSL
2. website development by using free web template
3. The website is the WordPress
4. My kid can design website better than this.

Bado kijana nenda shule.
I thought you gonna send me the serious Web Application
Nkt! Did I tell you am a website developer??... umeaza kuwa na inferiority complex hehe am a proggrammer I sent you the website you see the products I deal with .... website development is beneath me bro I cant waste my time developing a website and actually the site is not wordpress if you knew what you doing you could have noticed the databases do not connect as I told you you a fraud
 
Which programming languages do you use!?
 
Hahaha. Don't take that guy seriously. He says he has studied cosmology, metaphysics, software engineering, and yesterday he was trying to teach me geography. He is an expert in everything. This idea of pretending to be a genius in everything has to stop.
 
Sasa mbona unaanza kukimbia. Nimekuuliza mambo mawili.
1. What will happen if Revenue is less than expenditure!!?

2. Does Per capita is GDP/Population!? Explain with proofs the Per capita of your country how is calculated.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…