Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyinyi mko 60 million, sisi tuko 48 million. Vipi tena ulikuwa unataka tuwashinde kwenye kutazama umbea na miziki za mitandao? Dunia nzima inawajua nyinyi ni watu mnapenda umbea. Sisi ni watu tupo sophisticated. Tunatazama akina Beyonce na Jay Z, akina Bebe cool, akina wizkid. Hatujajifungia tu kwenye wimbo zetu kama nyinyi. Mjifunze kingereza angalau muanze kufuatilia wimbo za watu wengine.
Alafu mlivyo jifunza ndio mkaja na genge[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie ni pumba sana....alafu english sio kila kitu acha ujinga
 
Hebu tuanze kama ifuatavyo
Screenshot_20210122-150304.png
 
Hizo video mbili ndio unasema watu kibao!? Wakenya mziki wenu ni katitu mlishauacha. Watanzania wanaangalia mziki mzuri
Huo ni mfano tu, sitaki kujaza server. Trending no 1 in kenya hiyo
 
Attachments

  • Screenshot_20210122-133346.png
    Screenshot_20210122-133346.png
    102.3 KB · Views: 14
Nyinyi mko 60 million, sisi tuko 48 million. Vipi tena ulikuwa unataka tuwashinde kwenye kutazama umbea na miziki za mitandao? Dunia nzima inawajua nyinyi ni watu mnapenda umbea. Sisi ni watu tupo sophisticated. Tunatazama akina Beyonce na Jay Z, akina Bebe cool, akina wizkid. Hatujajifungia tu kwenye wimbo zetu kama nyinyi. Mjifunze kingereza angalau muanze kufuatilia wimbo za watu wengine.
Mlidanganywa mko 48m wakat muko zaidi 50m au ndio ile sensa uchwara ya kenyatta na wale mbwa zake walivowadanganya🤣🤣🤣
 
Boss upperhill ni business district kama vile sandton au kijitonyama. Hakuna business district yoyote Dar isipokuwa CBD yenu inayoweza kushindana na upperhill. Najua hata video hujatazama. Na kama umetazama na bado unaongea matope basi hio itakuwa ni wivu wako. Ila sandton pekee ndio imeishinda upperhill kwenye business districts zenye high rise nyingi
Sasa unataka kukataa kwamba upperhill sio ndogo hvi ww mbona siku hzi sikuelew🤣🤣 video mm nimeangalia mwanzo mpaka mwisho upperhii ni ndogo sana tena ndogo kweli kwli
 
Back
Top Bottom