Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni vizuri kuwa exposed to other cultures rather than kujifungia nyumbani kama ninyi. Watu milioni 60 nyote mnatazama nyimbo za Diamond kwa sababu hamjui kingereza, wimbo huo hauwezi kosa kuhit. Lazima wimbo huo uhit maana nyumbu zote zinatazama huo wimbo maana hamjui lugha nyingine.
kwani mkikubali mmepigwa namba mnatoboka!!!!

saa hii umewacha habari ya kutumia internet kwa vitu vya maana umehamia kwenye kusikiliza nyimbo za culture nyingine duniani[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wacha ushamba mzee, Inaonekana hujui maana ya neno "internet penetration". Kuna watu wengi sana wana internet na hawana muda wa kutazama mziki kwenye youtube. Watu wengi wanatumia internet huku kusoma au kufanya kazi. Halafu Wakenya generally wako more exposed to international music than Tanzanians. Wakenya kwa sababu tunaelewa kizungu huwa tunasikiliza muziki hata za Marekani. Huko kwenu nyumbu zote milioni 60 zinasikiliza bongo tu. Hio ndio sababu music video za Kenya zina less views than TZ. Halafu Wakenya ni 48 million na Malazy ni 60 million. So hata population yenu ni kubwa kwa hivyo lazima music videos zenu lazima ziwe na views nyingi kutushinda
Sisi na Ethiopia au Congo nani ana population kubwa na vp kuhusu idadi ya viewers kwa musician uki compare wanamuziki wao na wetu.
 
Ni vizuri kuwa exposed to other cultures rather than kujifungia nyumbani kama ninyi. Watu milioni 60 nyote mnatazama nyimbo za Diamond kwa sababu hamjui kingereza, wimbo huo hauwezi kosa kuhit. Lazima wimbo huo uhit maana nyumbu zote zinatazama huo wimbo maana hamjui lugha nyingine.
Wewe wacha upumbavu, kabla ya bongo fleva tulikuwa tunapenda muziki wa America, mziki ni hisia haihusiani na lugha.
 
kwani mkikubali mmepigwa namba mnatoboka!!!!

saa hii umewacha habari ya kutumia internet kwa vitu vya maana umehamia kwenye kusikiliza nyimbo za culture nyingine duniani[emoji28][emoji28][emoji28]
Nyinyi mko 60 million, sisi tuko 48 million. Vipi tena ulikuwa unataka tuwashinde kwenye kutazama umbea na miziki za mitandao? Dunia nzima inawajua nyinyi ni watu mnapenda umbea. Sisi ni watu tupo sophisticated. Tunatazama akina Beyonce na Jay Z, akina Bebe cool, akina wizkid. Hatujajifungia tu kwenye wimbo zetu kama nyinyi. Mjifunze kingereza angalau muanze kufuatilia wimbo za watu wengine.
 
daah leo mapema tu ......

kilimanjaro bariiiidi ipo kichwani
20210122_140518.jpg
 
Bado sn sehemu kubwa ni pori na barabara za mjini ni nyembamba mno, wacheni uzembe jengeni.

Kaeneo kadogo na mmeshindwa kujaza eneo, zen mnataka kufananisha na Dar yenye 1500 sq km.
Boss upperhill ni business district kama vile sandton au kijitonyama. Hakuna business district yoyote Dar isipokuwa CBD yenu inayoweza kushindana na upperhill. Najua hata video hujatazama. Na kama umetazama na bado unaongea matope basi hio itakuwa ni wivu wako. Ila sandton pekee ndio imeishinda upperhill kwenye business districts zenye high rise nyingi
 
Back
Top Bottom