Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Train yetu itakua na uwezo wa kuhifadhi charge kwa zaidi ya masaa matatu while in motion, kaa mbali
Train zipi hzo[emoji23][emoji23]
Au hewa emu tuonyeshe oder mumeweka wapi na ni train design gani kutoka wapi ni ngapi tena ni kwa shingapi?
 
kama hujui programming huwezi fungua hiyo dataset! i wish ninge-share my analysis ila i prefer my discretion! Kuna vitu unaweza kujitamba ila vitu vya loan kuweni waangalifu!

Kama giant Nakumatt ime-collapse, hivyo vi-start up vingi mwisho wake hautakuwa mzuri hapo kenya!
Akina nakumatt kuporomoka ni tatizo la management
 
Pia wewe wacha kudanganya wengine what programming knowledge does someone need to read that data set?
ifungue halafu halafu extract variables za Kenya! fanya screenshort halafu i-post humu! A little help dataset ni CSV file lina rows 335000 na columns 13. Bila ya kui-process hiyo data huwezi kuisoma!
 
Bridge moja tu ndo inawapa kiburi hivo [emoji706][emoji706]
Wewe inaonesha ni mgeni humu ndani, ngj nikupe intro tu, hayo hapo chini ni baadhi tu.

Salender bridge u/c

Kigamboni bridge

Mkapa bridge

New Wami bridge u/c

New pangani bridge u/c

Ukitaka battle karibu, wenzako walikimbia humu ila ww mgeni inaonekana [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90]
tapatalk_1594481341647.jpg
tapatalk_1594478008201.jpg
tapatalk_1595532408919.jpg
tapatalk_1601423026536.jpg
tapatalk_1602665156599.jpg
Screenshot_20210121-194232.jpg
Screenshot_20210121-194119.jpg
Screenshot_20210121-194040.jpg
 
Kawaulizeni ethiopia[emoji23][emoji23]
Kwn nyie mna umeme kuwazidi ethiopia lkn bado kitu kinapata shida kuendeshwa on a daily basis...

Mwisho wake tutauona tu wakurupukaji
Usifananishe failed state na Tz, Ethiopia ni failed state km nyie, pia Ethiopia haipo kimkakati km nchi yetu iliyozungukwa na nchi karibu nane na zingine pia bado haziko mbali, hizo zote zinatutegemea sisi.
 
Jitayarisheni kulala porini
 
Usifananishe failed state na Tz, Ethiopia ni failed state km nyie, pia Ethiopia haipo kimkakati km nchi yetu iliyozungukwa na nchi karibu nane na zingine pia bado haziko mbali, hizo zote zinatutegemea sisi.
😂😂Hii Ni Addis nyi bado Sana
FB_IMG_16112020418745129.jpg
 
Back
Top Bottom