Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ss mtafanya biashara gn wkt kila kitu mlikuwa mnategemea kutoka Tz zen mna pack mnauza nje, but now tunauza wenyewe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Maskini huwa anajenga reli kwa pesa za ndani tena ya umeme, ninyi hamna mradi mkubwa mliojenga kwa pesa zenu hata mmoja, expressway tu km 5 mmeenda kukopa France, nchi yenu ni ya ******* sn sijawahi kuona.
Kukopa as long as it's not for for recurrent expenditures ni kuzuri mimi nina deni benki ilinijengea nyumba nalipa pole pole Bora hivi nina deni but silipi kodi kuliko nilipokua bila deni nikulipa kodi. Sasa naishi kwangu ni vile lazima deni ya benki nilipe pole pole hapo kuna ubaya gani?
 
Wapuuzi hao majamaa, dangote mwnywe madeni yanamuangukia puani..

Payslip lazima inyoroshwe bana, ndiposa nakwambia hawa majamaa hawajui umuhimu wa payslip..

Yani niwe na mtaji wa ksh milioni alafu niuwekeze wote katika mambo na wakati mabenki ya tele[emoji23][emoji23]
Milioni yangu itakaa mambo yangu yataendelea kw pesa za wenyewe..
 
Punguza kuongea pumba, 95% ya mzigo wote wa Mombasa port unaishia Kenya, that alone is the worst indicator of dependance / importation
 
Maskini huwa anajenga reli kwa pesa za ndani tena ya umeme, ninyi hamna mradi mkubwa mliojenga kwa pesa zenu hata mmoja, expressway tu km 5 mmeenda kukopa France, nchi yenu ni ya ******* sn sijawahi kuona.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Usilie kwanza tulia,inamaana hamuwezi kufinance kamradi kadogo kama hako?wizara ya ujenzi inaandaa budget ya nn mwaka mzima?
 
Sasa ninyi ambao mna agenda ya wheelbarrow jobs kama Taifa na kuzibua mitaro ndio employment industry kubwa kwa sasa Kenya, unaweza kutuambia nini kuhusu aina za kazi na class?
 
Kawadanganye wa south sudan[emoji23][emoji23][emoji23]
Huo mgodi ukitelekezwa na wale jamaa wa accacia sijui wanajiitaje vile ndio wakapewa hao wajinga ambao hawajui kunaendaje..

Yani huo ni mgodi ambao ilikua tayari unaleta hasara[emoji23][emoji23]
Ww sina hakika kama ulienda shule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…