It was a joint east africa project hata kama sisi hatukujenga ya umeme tulimaliza mapeeema bado a century later hamjawai anza kuna Matilda kama kuna mwana biashara atakuambia that's poor turn overSGR imeanza 2017.
Unataka kufananisha ujenzi wa SGR ya Tz na expressway? Acha Huo ujingaYeah
Yeah lakini sgr ukianza pamoja sisi tushatumia Mike Kumi nyinyi bado haijaisha sisi hadi nilisha anza kujenga Express ways
Wazanzibar hata hawapendi watanzania na raisi wao
Na mkumbuke your SGR ilikua na 20 years loan agreement na iko karibu kuisha hiyo miaka kabla ya nyinyi hata muanze kutumiaUnataka kufananisha ujenzi wa SGR ya Tz na expressway? Acha Huo ujinga
unawaumiza roho!SGR
Phase 1 over 92%
phase 2 over 52%
Phase 5 site works
unasemaje hapo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nani aumizwe roho mnaweka asilimia bila aibu na ni miaka ishirini baadae kenya and ethiopia walishaanza kutumia zao hadi zimezeeka ndo maana kenya imeanza kufanya biashara na ethiopia wait wako chap chap si mabongo lala Kama wenzetu hukuunawaumiza roho!
PPF jengo la kawaida Sana,no design Ni glass pekeyake,,ata prisim iko sawa design yake Kali sanaAsa hilo utafananisha na PPF HQ?? kweli??
Yaani hicho tu, kimekufanya uandike comment!!?Yaani Nairobi Watanzania ni wengi. Leo nimekutana na wawili. Mmoja ameishi Kenya miaka mitano tu na tayari ameshasahau Kiswahili cha Tanzania. Nimecheka sana. Kumbe Mtanzania anaweza kusahau hicho kiswahili chenu cha kulegeza ulimi. Huyo amesahau lafudhi yenu.
Kama hujui kabla ya Fall of USSR Tanzania ilikuwa ina uchumi mmkubwa kuliko nyie.. Maendeleo yote haya unayoona Tanzania yamefanyika miaka 15 iliyopitaMbona hamjawahi kutupita kiuchumi ilhali mna hii rasilimali yote?
Najua in the past mlikuwa na a bigger Gdp than ours. Ilikuwa Somewhere in the 1980s or 1990s. Sasa sijui mlikosea wapi njia hadi tukawapita.Kama hujui kabla ya Fall of USSR Tanzania ilikuwa ina uchumi mmkubwa kuliko nyie.. Maendeleo yote haya unayoona Tanzania yamefanyika miaka 15 iliyopita
Sent using Jamii Forums mobile app
Naipori! 🤣 🤣 🤣 👆Ukiichukua Naipori ukaiweka Dar litabaki eneo kubwa sn likiwa pori.
Small and sophisticated not big for nothingNaipori! 🤣 🤣 🤣 👆
Hamjawahi kujenga electric sgr so keep quiet cz u don't know how it looks like.It was a joint east africa project hata kama sisi hatukujenga ya umeme tulimaliza mapeeema bado a century later hamjawai anza kuna Matilda kama kuna mwana biashara atakuambia that's poor turn over
Toeni usenge wenu wa kibaguzi hapa, wazanzibari pia ni Watz, wacha huo usenge au peleka kwenu huo ubaguzi fala wewe.Wazanzibar hata hawapendi watanzania na raisi wao
Ni ukweli it research if zanzibar was given a choice wangetaka kujitawala.... hata wakati wa elections walitumiwa majeshi ndo watulie wanakamdamizwa na ccmToeni usenge wenu wa kibaguzi hapa, wazanzibari pia ni Watz, wacha huo usenge au peleka kwenu huo ubaguzi fala wewe.
Kuna watu wana matatizo ya akili 😂😂Yaani hicho tu, kimekufanya uandike comment!!?
Wazanzibari wengi wapo bara na wamewekeza maisha yao yote huku bara kuliko Zanzibar, kwakifupi huku kwetu hakuna ubaguzi na hautowahi kutokea cz Tz miaka yote inaongozwa na viongozi makini walioenda shule co nyie wapuuzi.Ni ukweli it research if zanzibar was given a choice wangetaka kujitawala.... hata wakati wa elections walitumiwa majeshi ndo watulie wanakamdamizwa na ccm