Kampa kampa tena 🤣🤣🤣🤣hapo ni 50km kutoka CBD we mshamba wa wapi. sehemu ikiwa hivyo haimaanishi kuwa ni village[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hizo ni site za kibiashara ambazo hata ukiwa city center aidha nairobi ama dar pia utakuta viwanja vikiuzwa ni vitu vya kawaida sana ......
Sasa compare na vituko vyenu yaani 13km only tiyari mna mavichaka,leo inabidi ujue tofauti ya dar na nairobi hebu jicheke kwanza.....
jengeni kwanza hiyo nairobi bado sana,,,,,yaani km chache tu unakutana na vichaka plot[emoji1787][emoji1787]
View attachment 1680924View attachment 1680929View attachment 1680930View attachment 1680931View attachment 1680932View attachment 1680933View attachment 1680934View attachment 1680935View attachment 1680936
Nataka kuona passenger terminal ya Mwanza airport. Na siongei kuhusu hii mpya ambayo inajengwa sasa. Nataka kuona kama Mwanza airport ina passenger terminal ambayo ina hadhi kama ya Mombasa. Mtanzania yeyote apost passenger terminal ya Mwanza airport
Hebu onesha cargo terminal ya moi tucheke leo 🤣🤣🤣🤣🤣Halafu mnatoa wapi ubavu wa kuilinganisha Mwanza abattoir airport na Moi international airport?
Mwanza mwaka huu wana-launch the largest gold, copper and other metals refinery in the region!Hebu onesha cargo terminal ya moi tucheke leo 🤣🤣🤣🤣🤣
CC: Tony254 lead-singer for the Lamu port band!Imeingia mtwara hio
View attachment 1681043
what km? Zinakaa chini ya 5 km! In comparison Mtumba Govt city in Dodoma is having over 50 km of roads U/C!Konza roads have started getting tarmac.
Power, Water and fibre infrustructure will run below the roads, no overhead cabling
View attachment 1681048View attachment 1681049
Huu Mji naona mtausukuma taratibu but sure...mmeiga sandton?Konza roads have started getting tarmac.
Power, Water and fibre infrustructure will run below the roads, no overhead cabling
View attachment 1681048View attachment 1681049
Yaani hii ni Dar na ina vichaka namna hii? Duh!I am still in Kigamboni, Dar es Salaam. The village below is called Pemba Mnazi and it's right in Dar es Salaam city just in case you get confused 😂 😂. Huku uwanja vinauzwa bei poa 😂 😂
Enjoy your viewing!
View attachment 1680814View attachment 1680815View attachment 1680816View attachment 1680817View attachment 1680818View attachment 1680819
[emoji28][emoji28]Compare and contrast Google Earth images between Ruiru and Tundwi below ndio tujue village Ni gani between these two. One is built up all over while the other is totally deserted with no sign of human activity. Stop comparing apples with oranges
Ruiru
View attachment 1680993
Tundwi
View attachment 1680995