yani nyie wa tz bado mko nyuma zaidi ...mambo haya kenya tulipitia kitamboooooo. Yo what's good my beautiful people .? Kenyans ar u there.? πππ Upcoming East Africa's giant .. by the way hiyo sgr terminus ya dsm hauwezi kukutananayo popoteWest gate mall ni ya kiwango cha juu zaidi kyuliko hii mfano wa steji tu..
Umewahi kuona wapi kitu kama hii Kenyayani nyie wa tz bado mko nyuma zaidi ...mambo haya kenya tulipitia kitamboooooo
BARABARA KAMA HIZI TANZANIA WATAZIONA 2030Nmechukua hii picture saa hii pale kasaraniπ₯π₯
View attachment 1677219
Top 10 Universities in East AfricaZiwa gn [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
Sent using Jamii Forums mobile app
Lobby ya Nairobi Terminus haifikii hii hata robo! Nairobi terminus Imekaa kama warehouse! Dude lina Milango manual ya kusukuma! Njoo Dar SGR station uone milango yenye sensors ya kufunguka automatically na kuruhusu mwenye luggage wagons kupita unassisted!yani nyie wa tz bado mko nyuma zaidi ...mambo haya kenya tulipitia kitamboooooo
Suburb kitu cha kwanza una kingine π€£π€£Nitajie kitu moja ambayo Mwanza inashindia Mombasa
Source by who???π€£π€£π€£Top 10 Universities in East Africa
- University of Nairobi
- Makerere University
- Kenyatta University
- University of Dar es Salaam
- Egerton University
- Moi University
- The University of Dodoma
- University of Rwanda
- Sokoine University of Agriculture
- Strathmore University
Mulipita wapi hebu tudanganye π€£π€£π€£π€£yani nyie wa tz bado mko nyuma zaidi ...mambo haya kenya tulipitia kitamboooooo
Cha pili?Suburb kitu cha kwanza una kingine π€£π€£
Kanye corona mlitumia nini? kakakuona? πTumetumia sayansi kuwaumbua watu wenye hila mbaya za kusambaza corona.
Tz, tumegundua kuwatumia panya kutegua mabomu. Panya wetu wamesaidia nchi kama Angola na Cambodia. Pia tumegundua kuwatumia panya kutambua kama mtu ana TB, tena ufasaha wake ni wa haraka (sekunde chache) kuliko kutumia x ray.
Huo uchafu hata ipakwe asali na maziwa na waongezee chocolate juu bado itabaki tu uglyHuwa mnasema hivyo ila after completion mnakimbia, sisi huwa hatukosei.
Mwanza kuna electric train? You are a Tanzanian. What good can come out of your mouth? But that won't change any fact that Mombasa is a million times better than MwanzaMji wwte duniani ambao hauna infrastructure za treni ya umeme basi huo mji ni stone age, huwezi ku compare Mwanza na Mombasa ni kukosa heshima.
CC: Tony254 ukija Bongo mambo ya kutoa rushwa achia Namanga!π€£π€£π€£π€£