Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Miundombinu yao ndio babkubwa ukanda Huu, lakini haitatui matatizo yao ya kila siku Sasa hawa kama watu wajinga ni nn
Asante kwa kutambua kwamba miundo mbinu yetu ndio babkubwa ukanda huu. Ni vizuri kuona Mtanzania akikubali kwamba Kenya ipo mbele kwenye miundombinu
Cc Geza Ulole ichoboy01
 
A view from Upanga
6E88714D-6900-4771-8CFD-AB72652CBE99.jpeg
 
harafu unakuta ngurue pori hajui huo uwazi uliachwa kwa kazi gani[emoji38][emoji38][emoji38].
akiona BRT inaibuka hapo anadhani ni jambo la kulala na kukurupuka asubuhi uanze kujenga brt[emoji38][emoji38].

naanza kuamini hata hao marais wa awamu zilizopita tuliokuwa tunaona ni wazembe,walikuwa kama yohana mbatizaji,wao walikuwa wanasafisha njia na kufunga valvu za turbo,sasa kasi imeanza.
 
Back
Top Bottom