Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uchapa kazi hyo ndio taswira yetu tokea kitambo
kazi mtachapa nayo nani sasa na mmeanza kiburi!!!

kila nchi mnagombana nayo,mpaka sisi kaka zenu tunaowaweka mjini mnatufanyia ujeuri[emoji38][emoji38][emoji38]
 
kazi mtachapa nayo nani sasa na mmeanza kiburi!!!

kila nchi mnagombana nayo,mpaka sisi kaka zenu tunaowaweka mjini mnatufanyia ujiaji[emoji38][emoji38][emoji38]
Kenya ndio nchi pekee ukanda huu ambayo haijapigana vita vya kiserekali na nchi yyte[emoji23][emoji23]
Kwhyo bado sisi ndio baba wa demokrasia ukanda huu, tuna mbinu zote za kuwa tune na kuwarudisha katika hali ya kawaida..

Nyie ni wale zetu bana
 
kumbe democrasia ni kutopigana vita ya mipaka[emoji23][emoji23][emoji23],basi sawa.

ama ulimaanisha diplomasia,sasa diplomasia ni pamoja na kuishi bila kelele na majirani.sio kutopigana pekee.
 
Wakenya wako desperate sn, ila na sisi tunaenda nao hivyo hivyo wanavyotaka wao cz tangu tuwazd wamekuwa km wehu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Muda mrefu sana walikuwa wanatumika km tissue msalani,kupitishia propaganda za kibepari,walisifiwa sana kumbe ni Umavi mtupu.Kunyaland a.k.a shit hole
 
Hahahaha mbona Japan Yen umemute?

Na aliekuambia Singapore wameacha a na matumizi ya 10k notes ni nani?

Posta mpya karibu ymca nimeona picha kuna kitu cha nguvu kinashushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…