El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
Welcome to Nairobi national museum
yah kudepend .....lazima.....maana kila eneo kuna thamani yake kulingana na mazingira ....hata dar nayo iko ivyo
Wewe lini na wapi umeisifu dar kwa namna yoyoteNi mara ngapi nimepost huku that naipenda Dar sana hata ningefurahia kuwa posted huko kwenye kazi, ni kisoma huwa hausomangi ama ni kuzungu huwa huelewi. Jameni unabishana kama mtoto mdogo, ningependa kujua umri wako.
Ndio ukweli kaka kwenye ukweli tuseme japo unauma hakuna common people nairobi ata afford pesa ya kununu land au houseWell if that makes you get some sleep ni sawa pia, I can see the only people you think of are politicians and businessmen but do you think employed people earn peanuts, have you thought about people working for Banks, Ngo's, Civil servants, Farmers, Lawyers, Pilots, IT developers, CEO's, MD's?
Ndio ukweli kaka kwenye ukweli tuseme japo unauma hakuna common people nairobi ata afford pesa ya kununu land au house
Kwa politicians na businessmen ntakkubali
Azam embeTanzanians should try this.....Aganza yako ni gani
![]()
![]()
![]()
Kwanza unaelewa napozungumza kuhusu common people??????But kuna mtu ako employed analipwa more than a businessman, a businessman can be earning 20, 000 a month while an employed person can go to an excess of kes.1million, hata mchoma mahindi ni businessman, cant you think beyond that small box you've put yourself into?
Inaitwa order. City planning. Acha kuwa mshamba hivo, huwezi enda kwenye estate alafu ukaanze kujenga 1,2,3 bedroom rental aparments za ghorofa... You have to be orderly thats why it looks neat, well arranged.sasa ndio maana nilikwambia hamuna uhuru na ardhi yenu, tanzania mtu anajenga house of his/her dream
na hizo houses ngumu sana mkenya ku afford kununua tusidanganyane hapa, ikiwa ardhi ngumu nyumba itakuaje??
repost hapa post yako hata moja inayosifia dar au kitu chochote kuhusu tz,weka hata screenshot.Ni mara ngapi nimepost huku that naipenda Dar sana hata ningefurahia kuwa posted huko kwenye kazi, ni kisoma huwa hausomangi ama ni kuzungu huwa huelewi. Jameni unabishana kama mtoto mdogo, ningependa kujua umri wako.
Kwanza unaelewa napozungumza kuhusu common people??????
Na nimesema businessmen wakisawasawa yamaanisha businessman mkubwa
Ndio maana nikasema hzo building ambazo ziko in same design zinamilikiwa na either investors au businessmen au politicians au mashirika ya serekali hapo watu wanaishia ku rents tuInaitwa order. City planning. Acha kuwa mshamba hivo, huwezi enda kwenye estate alafu ukaanze kujenga 1,2,3 bedroom rental aparments za ghorofa... You have to be orderly thats why it looks neat, well arranged.
The houses that look alike are constructed by a real estate company like KENPAULITE mentioned, Suraya Properties and then they sell on profit. You really should watch these property shows at the weekend, tune to KTN or NTV to know how stuff is done.
Mungu yupo siku zote my friend lakini tunapoongea kuhusu common people kwa kenya ku afford land au house ngumu sana kwasababu ardhi sio mali ya serekali ni mali ya mtu ndio maana hata ukiangalia SGR yenu imekua very expensive kwasababu ya land....hata juzi niliskia mwanauchumi wakenya akizungumza kuhusu SGR itachelewa kulipwa kwa miaka mingi coz of the costWell then this is where tunasema kama wewe ni common, you should work towards being uncommon ama uwe businessman, I believe hata uwe maskini wa kutupiwa ukimweka Mungu mbele kesho utakua tajiri kwa mapenzi ya mwenyezi mungu, that means we all can move from being poor to being rich by acknowledging who gives wealth
huyo naye MK254 ni mnafiki sana kuna thread karopoka ropoka eti TZ haina viwanda mara ooh sindano na pipi tunaagiza toka kwao.......repost hapa post yako hata moja inayosifia dar au kitu chochote kuhusu tz,weka hata screenshot.
itakuwa umefanya jambo la busara sana.
niwe tu mkweli,mkenya peke ambaye sometimes huwa anasifia mazuri ya tz ni MK254.nyinyi wengine labda mnasifia kimya kimya rohoni mwenu.
In short unasema inaweza kugharimu pesa ngapi kununua land na kujengahio bei utafika unafkiri mchezo😀😀😀😀😀 bei ya kiwanja nairobi wangapi wata afford sasa?????
ikiwa ku afford pesa ya kiwanja ni tatizo hio nyumba utaweza.....
na wanaoweza kununua viwanja nairobi ni politicians kwa wingi and businessmen wakisawasawa
so common people ambao ni wengi sana tena sana uwezo huo hawana na ndoto zao zinabaki history
lakini tanzania anyone in any level can buy a land and build a house of his dream, so long as cement and hardware materials are very very cheap
e.g a 50 kg in tz tunanunua 350 ksh inclusive vat of 18%
a 50 kg in kenya inauzwa 770 ksh..............umeona tofaut ilivo kubwa sana
sand in tanzania is almost free
aggregates as well while in kenya ni expensive sana tena sana
hatuwezi kua sawa😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
tena kwa kukuongezea aggregates nyingi za mombasa na maeneo ya mombasa wanakuja kuchukua lugoba near tanga niliona magari yenu mengi sana
na inasemekana mawe ya lugoba tanzania ni mazuri zaidi kwa ujenzi
Tanzania hakuna smokers?hao wavuta sigara vipi tena mbona wanazubaazubaa town .....kizembe
KENYAN POOR SMOKER
![]()
![]()
huo ni ukweli kabisa ......ndiyo maana hata nairobi ina vipara vingi sana yaani uwazi mwingi si kama hawapendi kujenga bali eneo kubwa linakuwa linamilikiwa na bepari mmojaMungu yupo siku zote my friend lakini tunapoongea kuhusu common people kwa kenya ku afford land au house ngumu sana kwasababu ardhi sio mali ya serekali ni mali ya mtu ndio maana hata ukiangalia SGR yenu imekua very expensive kwasababu ya land....hata juzi niliskia mwanauchumi wakenya akizungumza kuhusu SGR itachelewa kulipwa kwa miaka mingi coz of the cost