The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Hehehehee brt walishakosea labda wajenge BRT ushagoo but co metropolis areas, labda wafumue fumue miundombinu yote ya kwanza wajenge upya, sisi kwetu mlikuwa mnaona serikali mbn haieleweki unakuta road kulia road kushoto katikati bonge la eneo tulikuwa hatujui kumbe zilikuwa plan za miaka 200 ijayo [emoji3][emoji3][emoji3]Hq
Hapo juu nafasi ya brt ipo kabisaa mki plan mapema mtaweza majirani wetu[emoji846]hatuna kinyongo tunawapenda bado[emoji846]
Umepanic hahahahahaaaaaaaaaa.
hebu itazame vizuri hiyo picha ilivyo nzuri simple n quality........Sasa mbona unasisitiza ni vichakani wakati hata hujakanyaga huko. Kama hiyo ya Suswa ni banda ya kuchunia ngozi ya ng'ombe, hii yenu tataitaje?
View attachment 1675105View attachment 1675108
Mpaka inatia huruma usafiri wa Nairobi ni wa shida kiongozi kuna kipindi tulikua tunatoka mtaa mmoja uitwao Eastleigh tukielekea odeon cinema Nairobi sehemu wanapo bebea umbali wake ni kama kutoka mawasiliano mpaka Tabata camp Ila nauli ilikua ndefu kisa mvua inanyesha,hakuna mfumo Wala utaratibu kila mtu anapandisha nauli anavo kuskia🙂Hehehehee brt walishakosea labda wajenge BRT ushagoo but co metropolis areas, labda wafumue fumue miundombinu yote ya kwanza wajenge upya, sisi kwetu mlikuwa mnaona serikali mbn haieleweki unakuta road kulia road kushoto katikati bonge la eneo tulikuwa hatujui kumbe zilikuwa plan za miaka 200 ijayo [emoji3][emoji3][emoji3]
Ss wao baada ya kuona brt system haiwezekani ndo GoK ikaona izuge na mitumba ili waonekane wanaenda sambamba na Tz cz kelele za raia zilizidi, yn imefikia kipindi GoK inafanya miradi isiyokuwepo kwenye manifesto ya jubilee but waonekane wanaenda sambamba na Tz [emoji3][emoji3][emoji3]
Eti nao wameanza kujenga madaraja wkt sio kipaumbele chao, heheheee Magu huyu anaharibu kweli deals za viongozi wa kiafrika mana wanaonekana hawafanyi kazi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
===Poverty Rate by Country 2026
Comprehensive overview of the poverty rate by country measured as the percentage of the population living below the national poverty line, including what is number one country in poverty.worldpopulationreview.com
Poverty rate inazungumza zaidi juu ya DAR na NAI.
KENYA, ebu jikague mnakwama wapi.
Kenya madaraja tulianza kujenga kitambo sana[emoji1787][emoji1787]Hehehehee brt walishakosea labda wajenge BRT ushagoo but co metropolis areas, labda wafumue fumue miundombinu yote ya kwanza wajenge upya, sisi kwetu mlikuwa mnaona serikali mbn haieleweki unakuta road kulia road kushoto katikati bonge la eneo tulikuwa hatujui kumbe zilikuwa plan za miaka 200 ijayo [emoji3][emoji3][emoji3]
Ss wao baada ya kuona brt system haiwezekani ndo GoK ikaona izuge na mitumba ili waonekane wanaenda sambamba na Tz cz kelele za raia zilizidi, yn imefikia kipindi GoK inafanya miradi isiyokuwepo kwenye manifesto ya jubilee but waonekane wanaenda sambamba na Tz [emoji3][emoji3][emoji3]
Eti nao wameanza kujenga madaraja wkt sio kipaumbele chao, heheheee Magu huyu anaharibu kweli deals za viongozi wa kiafrika mana wanaonekana hawafanyi kazi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unapokuja kwenye suala la concrete jungle dar iache bro sio size yenu kabisa 😅😅Kwani ni uongo? Sisi tuna business districts tatu na nyie mna moja. Na kama unapinga nipe majina ya eneo tatu za Dar ambazo zina skyscrappers nyingi. Najua utaniletea zile glass tatu za bluu pekee
Basi ni hio utaonesha only GTC real density hakuna hapa🤣🤣🤣🤣🤣Walker255 The best 007 westlands yetu inafanana na CBD yenu. Bado sijaweka CBD ya Nairobi. Kwikwikwi
😁😁😂😂🤣🤣😅View attachment 1674892View attachment 1674893View attachment 1674897
Bussiness daily km kw kenya sawa ila kw watanzania inakua imeandikwa na mkenya sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtakunya boga mwaka huu, si huwa mnabana pua eti "Sisi hatushindwi kulipa deni"[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji85][emoji85]
View attachment 1675157Kenya gets G20 six-month debt repayment break
Kenya's request for debt service suspension has been approved by the Paris Club of major economies.www.businessdailyafrica.com
Hebu cheza na upanga alone 🤣🤣👇👇Bado hata sijafika CBD. Westlands yetu pekee inakimbizana na CBD yenu na unaongea matope hapa.
Kwamba hapa ziko 3?Zina skyscrappers kweli? Ukiwacha city centre yenu yenye glass tatu za bluu nyie hamna business districts ambazo zinaweza kukimbizana na westlands na upperhill.
Mbona huaga mnaichukia world bank sana inapowaeka pabaya[emoji1787][emoji1787]===Poverty Rate by Country 2026
Comprehensive overview of the poverty rate by country measured as the percentage of the population living below the national poverty line, including what is number one country in poverty.worldpopulationreview.com
Poverty rate inazungumza zaidi juu ya DAR na NAI.
KENYA, ebu jikague mnakwama wapi.
Hahahaa!!leo hivi imekuaje, si mumesema nyien mna viwanja hzo appartments hamuishi wenyewe mnapenda kujijengea[emoji1787][emoji1787]Ndo uzuri wa apartments km hz yn ghorofa moja zinakaa familia kibao ambazo kwa kawaida zingejaza uchafu kwa ground.
Mukikaribia hapa nitag🤣🤣🤣👇👇👇
Appartments[emoji1787][emoji1787]Hebu cheza na upanga alone [emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]
View attachment 1675159View attachment 1675161View attachment 1675162
Umekasirika 🤣🤣🤣🤣 siku mukisogelea density ya upanga unitag mmAppartments[emoji1787][emoji1787]
Sasa appartments ni nn sasa mbele ya offices za ngazi ya kwanza