Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndo nmemuuliza kutoka hapo westland mpk Nairobi kuna umbali gn.
Westlands ipo Nairobi. Mimi nasema kuwa Nairobi imegawanywa mara tatu in terms of skyscrapper development. Mbona unajifanya mjinga? Hata London ipo hivyo hivyo kuna Canary wharf
na pia kuna old CBD ya London. Lakini pengine mambo haya hamuwezi kuyaelewa.
 
Za upperhill na Westlands hakuna za cement, ni za glass. CBD nimekuonyesha kuna modern za glass. Wacha kujifanya hujaziona. Rudi nyuma ukazitazame.
Hakuna grassy hapo. Ni udongo kuanzia chini mpaka juu. Farao era design. Kama Egyptian pyramids pwahahaha.
Onesha buildings tatu ambazo ni modern.
 
Acheni kuiga tembo kunya..mtapasuka mapumbu
 
Nyie mna CBD moja pekee sisi tunazo 4[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mbona nahesabu majumba tisa tu hapo??? Umeona ile density nimekuonyesha kwa ile picha yangu?
Wacha urongo hakuna density umeonesha hapa wewe, density iko moja East and Central Africa ambayo ni hii [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…