Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huyo aliishagoma kutumia akili,ratio ni kitendawili kwake[emoji23][emoji23].
 
Shamba ndani ya Nairobi even in 2018??? Really???? Ndo mana huwa tunaiita Naipori [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Pole mzee. Ilikuwa utani. Usicatch mafeelings. Utafanya nipigwe ban.
Wewe umenitukana mara ngapi na sikulia? Ama umesahau mara zote ulizonitukana? Anyway pole sikuwa na ubaya.
Katika watu ambao huwa wananichekesha humu basi ni Tony254 yn haijapita siku hajanichekesha humu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kwani hujui 3/4 ya Kenya is arid and semi arid land? 80% of Kenya is classified as arid and semi arid lands. Lakini bado mnasoma number yetu licha ya hayo yote. Imagine what would happen tukipewa hiyo nchi yenu that's not arid!!
Wazungu walipowaachia nchi miaka ya juzi juzi mkaharibu kila kitu uhuni wa kuongopa ongopa ili mjifurahishe, hv unadhani km Tz ingeamua tng zamani kuweka mambo yake hadharani km anavyofanya Magu unadhani mnaweza kuikaribia Tz?
 
Kenya ni ndogo kushinda hio 690 sqkm. Kenya ni around 580 sqkm. Lakini licha ya udogo wetu bado tunawapiga katika mambo mengi tu. TZ ni sqkm ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…