President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Manzese sasa naona inabadilika.hiyo manzese siku za usoni itapotea na kuwa mpya.....
kama umegundua kitu kwa watu wanavuliwa sana nyumba zao na zinajengwa hotels na lodge hiyo sehemu inachange taratibu
Barabara za mitaa zinajengwa.



