The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Asante sana, hii nilikuwa naitafuta sana hii, jamaa tangu tuwa expose kuhusu kupika data za road wamekuwa waoga kabisa kuongelea the network of paved roads, pia wamepika mpk kwenye idadi ya shule ili mradi waonekane wako juu, but ukiwaambia leteni hizo shule tuzione hawana wanakimbilia statistics ambazo serikali yao inaongopa.Huyu mlienae anapika statistics za barabara tu
Increase the paved road network from the current 11,000km (7%) to 24,000km (15%) in five years
When made: February 2013 Where made: Party manifestoafricacheck.org
Asante kwa kupost. Hawa wabongo akina Geza Ulole wanadhani kwamba sisi tumezubaa hatujengi nchi yetu. Kwamba watatupita tu as if hatujengi nchi yetu.
Nchi inajengwa pole pole without too much noise.
Pumzisheni ilojengo.Dar city🇹🇿🔥View attachment 1673451
Kenya 21,000km of paved roads.Asante sana, hii nilikuwa naitafuta sana hii, jamaa tangu tuwa expose kuhusu kupika data za road wamekuwa waoga kabisa kuongelea the network of paved roads, pia wamepika mpk kwenye idadi ya shule ili mradi waonekane wako juu, but ukiwaambia leteni hizo shule tuzione hawana wanakimbilia statistics ambazo serikali yao inaongopa.
Kitu nilichogundua ni kwamba serikali ya Kenya huwa inaongopa kwenye statistics ili kuwaongopea lenders ili ionekane pesa wanazokopa zimefanya kazi but in reality kuna vitu hewa vingi sn ndani ya Kunyaland, ngj siku wapate rais anayejitambua ndo watakapoujua ukweli.
Wakenya wameongopewa kwa muda mrefu sana ila siku wataujua ukweli tuwaombee kwa Mungu tu.
Lots of development everywhere which can make dar jealousNchi inajengwa pole pole without too much noise.
Ni wapishi wazuri wa statistics ngoja nafanya research ya idadi ya wanafunzi kuendana na shule na idadi ya walimu kuendana na hizo shule zao za kupikaAsante sana, hii nilikuwa naitafuta sana hii, jamaa tangu tuwa expose kuhusu kupika data za road wamekuwa waoga kabisa kuongelea the network of paved roads, pia wamepika mpk kwenye idadi ya shule ili mradi waonekane wako juu, but ukiwaambia leteni hizo shule tuzione hawana wanakimbilia statistics ambazo serikali yao inaongopa.
Kitu nilichogundua ni kwamba serikali ya Kenya huwa inaongopa kwenye statistics ili kuwaongopea lenders ili ionekane pesa wanazokopa zimefanya kazi but in reality kuna vitu hewa vingi sn ndani ya Kunyaland, ngj siku wapate rais anayejitambua ndo watakapoujua ukweli.
Wakenya wameongopewa kwa muda mrefu sana ila siku wataujua ukweli tuwaombee kwa Mungu tu.
Hii ziara tumepiga bao sn, hapo naona lile dege letu la mizigo litakuwa na routes nyingi sn za kuelekea China and Europe.Ni big deal sana kwenye fishing industry, nafikiri ndio product ya samaki ghali sana kwenye value chain, nawafahamu wafanyabiasha wa bondo tu ambao wapo vizuri mno
Bondo zenyewe ni hizi, zinapimwa kwa gram
View attachment 1673334
Stadium ya Dodoma haijakamilika design tu?
Don't forget about this too,The flight from NRB to KLM with Air Kenya with only one passenger
3 km toka wapi mpaka wapi? Au mmeskia project ya JPM Bridge Mwanza city mkaamua kuiita yenyu 3 Kim pia!
Yaani Magufuli alivyo ingia tu akaanza kudeal. Na uvuvi haramu na kuvusha mabondo kinyemela kuyauzia kampala sababu ndio kulikua na madalali wengiHii ziara tumepiga bao sn, hapo naona lile dege letu la mizigo litakuwa na routes nyingi sn za kuelekea China and Europe.
Ndiyo maana Magufuli amekuwa akisisitiza kuwa Tz ni tajiri watu wakawa hawamuelewi, hapo tayari soko kubwa lishapatikana [emoji122][emoji122][emoji122]
Kenya 4000 Tanzania 50000Kenya 21,000km of paved roads.
Tanzania 9,000km.
Hatari 😅😅😅😅😅Balaa zito.
Ubabaishaji mwengine huu [emoji115][emoji115] hapa, ona vile construction ilivyokaa jua kali type[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji86][emoji86][emoji204][emoji204][emoji87][emoji87]
Asante kwa kupost. Hawa wabongo akina Geza Ulole wanadhani kwamba sisi tumezubaa hatujengi nchi yetu. Kwamba watatupita tu as if hatujengi nchi yetu.
Siku hizi mmekuwa mnatuogopa kweli kweli, eti tunakelele but zamani sisi ndo tulikuwa tunawaona nyie mnakelele sn, asante sana kwa kuanza kupata akili nowadays [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji86][emoji86][emoji204][emoji204]Nchi inajengwa pole pole without too much noise.