The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Magu ni the most expensive president in Africa, nmeshangaa sn jamaa katembea kote huko bila kuonana na president yn km ni president wa developed countries [emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Halafu toka airport mpaka huko mwaloni wala hajaonana na Magu, leo ndio wataonana ila kwa watu fudenge yule madenge ndio angeenda kumpokea airport na mizinga ya kijeshi na gwaride [emoji28][emoji28][emoji28]
media za kenya zipo kimya kureport kusaini ujenzi wa sgr.. maana ni msiba kubwa kwao. Ama kweli kuwahi kuanza sio kuwahi kufika...
1000’s km of SGR already signed and under construction [emoji375]
hivyo vipande vilivyo baki nina uhakika watamaliza hao haoWaziri pamoja na Rais wakati wanatoa hotuba zao fupi, Wote wameomba China kama itaweza toa Mkopo wenye riba nzuri basi wamalizie vipande viwili vilivyobaki.
Waziri wa mambo ya nje china kapokelewa na waziri wa mambo ya nje TZ tena sio kwamba Raisi hayupo huko..Ila Magu jeuri, yn mchina imebd amfate kwake kabisa na wala hana haja ya kukutana na mchina Dar, as long as amekuja kuomba kazi basi aende kijijini.
Sipati picha ingekuwa ni nchi fulani yn angepokewa capital city angelambwa mpk makalio, hahahahaaa jamaa kwakweli wana mambo mengi ya kujifunza kutoka kwetu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
mzee wahurumie hawa jamaa hawatuwezi hata robo ya punje ya unga...Mwalimu Nyerere Leadership School
Electronic Reading RoomView attachment 1671709View attachment 1671710View attachment 1671711
Si mjenge kwanza[emoji1787][emoji1787]Wakenya mbn mpo kmy au hii Mwanza-Isaka bado hamuamini macho yenu [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji204][emoji204][emoji90][emoji90] [emoji90][emoji90][emoji90]
Wakunya tuliposema tunahitaji nafasi yetu mlidhani tunatania? Tena ss nafasi tutakayokuwa sisi itakuwa ni aibu hata kulinganisha na nchi yoyote EA yn gap litakuwa kubwa mno.
Hebu fikiria electric sgr ikianza ku function alaf isitoshe mikopo ni michache na ya riba nafuu kwmb sehemu kubwa tumejenga wenyewe hamuoni kwamba pesa zitarudi in the near future?
Fikiria umeme tunazalisha wenyewe yn pesa double double zinaingia wkt huo huo deni ni himilivu, je kuna uwezekano wa kujilinganisha na sisi?
Huku sgr, kule meli zinapiga mzigo, pale brt, alafu madege km yote, viwanda bwelele, pia bila kusahau CNG plant is loading.........
Chuma bado hakijaanza kutema, pia kuna ule mradi wa helium unakuja kwa kasi ya light.
Tanzania itakuwa km ulaya soon, hahahahahahaaaaaa.
Yup! Hiki kipande nacho kikijengwa then Dar-Mwanza kutakuwa na electrified sgrWaziri pamoja na Rais wakati wanatoa hotuba zao fupi, Wote wameomba China kama itaweza toa Mkopo wenye riba nzuri basi wamalizie vipande viwili vilivyobaki.
CC: Tony254 unaonaje? Mchina akitoa mkopo wa masharti nafuu kuliko ile mikopo yenyu? Kutakalika humu ndani?Yup! Hiki kipande nacho kikijengwa then Dar-Mwanza kutakuwa na electrified sgr
Si mjenge kwanza[emoji1787][emoji1787]
Phase ya kwanza yenyewe haijaisha na imeshachukua mwaka wa nne kw route ya 200km..
Kenya tumetumia miaka mitatu na nusu kujenga route ya 600km kwhyo msibwabwaje sana..
Target yetu deni ni 150%, kwhyo tunakopa tu tunamalizia mpka malaba bila wasi wasi
Mukope kwa nani???👇👇👇👇Si mjenge kwanza[emoji1787][emoji1787]
Phase ya kwanza yenyewe haijaisha na imeshachukua mwaka wa nne kw route ya 200km..
Kenya tumetumia miaka mitatu na nusu kujenga route ya 600km kwhyo msibwabwaje sana..
Target yetu deni ni 150%, kwhyo tunakopa tu tunamalizia mpka malaba bila wasi wasi