hii ni utoto sasa...unataka tulete yatches nairobi zifanyiwe nini? hizo zipo mombasaTwende kazi wewe dogo. Kwenye ICT wala usiseme nimekuewekea Infor za kumwaga. Ngoja nikupatie Trasport in Dar by Boats
![]()
![]()
![]()
Dar huiwezi wewe umebaki kuhororoja tu.
tulishawaruhusu kuleta picha za mombasa na miji yote ya kenya kupambana na dar es salaam.be free man.hii ni utoto sasa...unataka tulete yatches nairobi zifanyiwe nini? hizo zipo mombasa
Onesha za mombasa tunazitaka hizohii ni utoto sasa...unataka tulete yatches nairobi zifanyiwe nini? hizo zipo mombasa
can you come up with a credible source to back up these claims coz afaic... most Kenyans don't know nothing about Tz or even keep tabs on them.
siumeona sasa jinsi hawa wakenya walivyo na roho mbaya........Ile sindano ya tanzania ya viwanda imeanza kuwaingia ndugu zetu...sasa wanazuia
View attachment 532582
kinachowafanya mzuie gesi ya tanzsnia kuuzwa kwenu ni nini....?...naona nidhamu ya uwoga ishatanda......poleni sanacan you come up with a credible source to back up these claims coz afaic... most Kenyans don't know nothing about Tz or even keep tabs on them.
Nyinyi ni watu wa kupuuziliwa mbali as you languish in your ldc country. Am so sorry for this
you forgot about thisThis view... Before we add, montave, hass, 88, and the 6 AVICs.
![]()
ushatoka kupiga rangi nyumba za uswazi darislum?kinachowafanya mzuie gesi ya tanzsnia kuuzwa kwenu ni nini....?...naona nidhamu ya uwoga ishatanda......poleni sana
Ooooh almost I forgot majirani nyie ni Developed country, thanks for the reminder!Tell us why you are an LDC. ......blah blah blah hatutaki kusikia.All those Nairobi slums cover 5% of the city.....thats why its hard to spot them in a Wide aeriel view......but those Dar houses or shacks cover like 90% of Dar....Most of Dar ni vichochoroni bila mpangilio.....its funny how you deliberately leave out the side of kibera that has numerous flats. Mnapenda kujidai hapa lakini mji wenu in totallity ni slum City or informal settlement infested city
See you soon njaa itakapofika mlangoni kwako na hayo maneno yako ya kejelican you come up with a credible source to back up these claims coz afaic... most Kenyans don't know nothing about Tz or even keep tabs on them.
Nyinyi ni watu wa kupuuziliwa mbali as you languish in your ldc country. Am so sorry for this
Tatizo kubwa la hawa hua bado wanamawazo ya tz of 90s wakati leo tuko 2017 na ndani ya miaka 10 maendeleo yaliofanyika tanzania hata wangepewa 30 yrs wasingefkiaOoooh almost I forgot majirani nyie ni Developed country, thanks for the reminder!
Lakini jirani nyie si ndo mna biggest slum second to none East & Central Africa? Majirani nyie si ndo huwa mnalia njaa kila mwaka? Sasa ikiwa basic needs kama chakula tu ni shida kwenu, why do you feel more privileged kuliko jirani yako anayekulisha?