Tell us why you are an LDC. ......blah blah blah hatutaki kusikia.All those Nairobi slums cover 5% of the city.....thats why its hard to spot them in a Wide aeriel view......but those Dar houses or shacks cover like 90% of Dar....Most of Dar ni vichochoroni bila mpangilio.....its funny how you deliberately leave out the side of kibera that has numerous flats. Mnapenda kujidai hapa lakini mji wenu in totallity ni slum City or informal settlement infested city
The home of Infamous East African Tycoonshhahahah sijawahi ona in my life nairobi world city
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
DAR CITY
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kaja juzi tu huyo hajui alitendalo msameheEl matador El matador El matador
Hivi mnajua kwnn Dar haina list ya slums kwny link yyt ile mtandaoni??
ni si hivo tuu wala hakuna organization wala mtu yyt ambaye ashawahi tamka Dar ina slums!!
sababu ni hii...
Ukienda in deep ktk hizo aerial view mnazoziona hamtakuta worst life km katika hizo slums za kwenu..
We have good and quality houses
We have an access to all social services in need
Kwa hiyo sasa
Kwa vigezo vyao ndo maana hawaja_consider km Dar ina slums kwa kuwa the only problem ni kuwa na informal settlements basii ...
yaan hiyo 92% kuna mtu humu ndani aliianzisha basi wakenya wote wakafuata mkumbo...
kila anaye_comment anakuambia Dar ni slum 92%... hivi 92% hilo ni jiji tena au??
basi hata kwny vigezo vya majiji duniani tungetolewa
Wanaishi maisha yakuzimu dah sio maisha hayoThe home of Infamous East African Tycoons![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
sio kejeli bro. najua ukweli unauma. kukosa ugali sio njaa.... naweza kula wali au viazi/nyama na siku zinasongaSee you soon njaa itakapofika mlangoni kwako na hayo maneno yako ya kejeli
Sasa unapoleta mbuga za wanyama ziliziko porini Nairobi kwani hapa tunaangalia fisi!? Nakugonga paumapo mpaka upate akili.

Sasa huo wali na Viazi ndugu yako wa Kibera anaweza ku-afford? Hata majani wanayokula ng'ombe yangekuwa yanafaa kuliwa watu wangekula tu, hamna anayependa kupiga kelele za njaasio kejeli bro. najua ukweli unauma. kukosa ugali sio njaa.... naweza kula wali au viazi/nyama na siku zinasonga
uyo jamaa wa kikenya ni chiziEl matador El matador El matador
Hivi mnajua kwnn Dar haina list ya slums kwny link yyt ile mtandaoni??
ni si hivo tuu wala hakuna organization wala mtu yyt ambaye ashawahi tamka Dar ina slums!!
sababu ni hii...
Ukienda in deep ktk hizo aerial view mnazoziona hamtakuta worst life km katika hizo slums za kwenu..
We have good and quality houses
We have an access to all social services in need
Kwa hiyo sasa
Kwa vigezo vyao ndo maana hawaja_consider km Dar ina slums kwa kuwa the only problem ni kuwa na informal settlements basii ...
yaan hiyo 92% kuna mtu humu ndani aliianzisha basi wakenya wote wakafuata mkumbo...
kila anaye_comment anakuambia Dar ni slum 92%... hivi 92% hilo ni jiji tena au??
basi hata kwny vigezo vya majiji duniani tungetolewa
mbona povu?...shida yako nini?...huamini kwamba kenyatta kahaidi ku-apply magufuli style of administration pale mtakapo mchagua tena?....au huamini kama mkenya anaweza kuiga jambo zuri kwa mtz?.can you come up with a credible source to back up these claims coz afaic... most Kenyans don't know nothing about Tz or even keep tabs on them.
Nyinyi ni watu wa kupuuziliwa mbali as you languish in your ldc country. Am so sorry for this

Actually ni CBD pension house ndio ita add to that view... plus Hazina maybe, you are right.you forgot about thisView attachment 532618 and there are many more
Hujielewi wewe wala huelewi unachokiongea .Diference in life's standard or quality between very few Rich Kenyans ,most of them Politicians who have terrorised and squandered Kenyan's economy and ordinary citizens in Kenya is extremely greater as compared in Tanzania .Most of Political Establishment families like Moi's ,Kenyata are Multimillions worth and these illicitly obtained fortunes has been confined to very few people less than 1 percent leaving the rest 99 percent suffering miserably in extreme level of poverty ever before and you dormant minded dummy you are still happy for that paper documented Nation's Economic level which does not bring reality to ordinary people life in KenyaTanzania na Somalia ni sawa hahaha. ......amani mingi lakini umaskini umekithiri in the whole country.
about time people are waking up, waliona watanzania hawanunui....wacha sasa mfunzweTanzania hatuna roho za korosho
View attachment 532620
Kukosa ugali ndio njaa yenyewe kula majani basi tuone kama utaishi😀😀😀😀sio kejeli bro. najua ukweli unauma. kukosa ugali sio njaa.... naweza kula wali au viazi/nyama na siku zinasonga
Nani atufunze....kinachofunza duniani ni njaa pekeake.......najua hapo ushavimba😀😀😀about time people are waking up, waliona watanzania hawanunui....wacha sasa mfunzwe
poleee yako hapo si katikati ya jiji.....uliza...uelekezwe
Rusted roof ndo tatizo au kuna tatizo gani?
official azam tv app is now available in app store.[quote uid=396713 name="Edward Wanjala" post=21409417]