Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

c834710a76e80529d193cecb3cc402d1.jpg
 
Hiyo picha ya juu sijui wameitolea wapi, ila wasitake kufananisha Manzese/Tandale na Kibera, Kibera ni kama kambi fulani ya watu waliokuwa isolated. Ukiangalia nyumba zao ni za mabati na udongo kitu ambacho kwa Dar hata ukute mtu ni masikini kiasi gani hawezi jengea nyumba udongo au mabati... Kibera & dada yake Mathare are pure definition of slum wakati Manzese/Tandale is just informal settlement with all basic services
Tell us why you are an LDC. ......blah blah blah hatutaki kusikia.All those Nairobi slums cover 5% of the city.....thats why its hard to spot them in a Wide aeriel view......but those Dar houses or shacks cover like 90% of Dar....Most of Dar ni vichochoroni bila mpangilio.....its funny how you deliberately leave out the side of kibera that has numerous flats. Mnapenda kujidai hapa lakini mji wenu in totallity ni slum City or informal settlement infested city
 
Back
Top Bottom