Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Roads in Arusha .kisumu haiwezi ikuta Arusha kwenye chochote kile . Naongea na wewe Teargass
View attachment 1670374
Watanzania shida yenu inakuanga nini lakini?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚. Sasa tangu lini Southern Bypass ikawa barabara ya Arusha? Najua mnatamani barabara za Kenya but don't steal them🀣🀣
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ kiboko yake iko hapa ikiweza kutoka hapa nitag πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡

Umejaribu kujitetea sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‰πŸ˜‚ not yet there, let Mwanza relax with akina Thika na Machakos tu kaka, no offense, nice try!πŸ˜‚πŸ˜‚., Mwanza ni nyumbani? unaitetea sana!
 
Hujui kwamba wachina ndio walitaka kutujengea SGR yetu kwa njia za kitapeli kama walivyowafanyia nyie. Kwa vile watz tunajua nini tunachofanya tukaona hawa wanataka kutuingiza mkenge hivyo tukaachana nao na kumchukua mturuki. Mturuki si mbaya ni wazuri na tena wanajenga kwa stndard za europe sema kwamba reli yetu ni ndefu sana na mturuki amechukua karibu nusu ya hiyo reli hivyo huwezi kumpa mturuki ajenge yote. Kwenye project kubwa kama hii uwezi kuweka kampuni/mkandarasi mmoja tu ndio ajenge. Hata barabara huwa zijengwa kwa vipande na wakandarasi tofauti, kwenye ujenzi hilo ni jambo la kawaida tu bimkubwa! Labda kama wangekuwa wameifund ujenzi wa hiyo SGR ndio tungekuwa hatuna ujanja.
 
Umejaribu kujitetea sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‰πŸ˜‚ not yet there, let Mwanza relax with akina Thika na Machakos tu kaka, no offense, nice try!πŸ˜‚πŸ˜‚., Mwanza ni nyumbani? unaitetea sana!
Chomoka na hapo kama ww mwanaume kweli nitambue leo 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
I have been saying it here that Tanzanians are admiring our roads and towns na wanakataa, sasa ebu ona huyu nguruwe anaiba barabara ya KenyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ kiboko yake iko hapa ikiweza kutoka hapa nitag πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡

Hii πŸ‘‡πŸ‘‡moja inakufunika mbaya! I told you Eldoret is even ahead of Mwanza...,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
What is thisπŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘† shit??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tazama hizo nyumba jameni!!.,
Tatizo mmezoea kuona uniform za nyumba ndio maana unashangaa! πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Hii πŸ‘‡πŸ‘‡moja inakufunika mbaya! I told you Eldoret is even ahead of Mwanza...,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ ukitoka hapa ww mwanaume kweli
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ kiboko yake iko hapa ikiweza kutoka hapa nitag πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡

 
Chomoka na hapo kama ww mwanaume kweli nitambue leo 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Mbona mnapenda kuiba mapicha za Kenya?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Tatizo mmezoea kuona uniform za nyumba ndio maana unashangaa! πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
🀣🀣🀣🀣 yani ni wajinga hawa jamaa amepost picha ya mtwapa kuna slum ya kutosha hapo nyuma
 
JPM aliposema Hakuna cha mama yake lockdown wala baba yake lockdown wakunya walimcheka sana na kumuita Kinjekitile [emoji1787]

Now we all know who's clown
View attachment 1670985
Kuna mtu anazungusha kijarida chake eti wameizd tz kwenye economic growth licha ya wao kuwa Quarantine, nikacheka sn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…