The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Anaujua ukweli mbn, na sio yeye tu watu wote waliowahi kutembelea hii thread kwa ss huwaambii kitu kuhusu Tz na Kenya, wanajua kwamba Tz kwa ss iko mbele ya Kenya kwa mambo mengi sana.Teargass barabara za tz zina michoro safi,muache kusemaga eti barabara za tz sio marked
View attachment 1670434
Leo mtu anapewa vitasa mapema kabisa, na usidhani hawaoni [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji205]. Kituo Cha mabasi morogoro vs kisumu international airport [emoji23][emoji23] bwahahahaaa . [emoji23][emoji23] The best 007 njoo ona uku Teargass [emoji23][emoji23]
Hii walishatii kwamba hawana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Sio tu lami hadi barabara za zege magufuli amepiga Tena barabara yenye Zaid ya km 50
. Maendeleo ya ujenzi wa sarenda bridge .. hii ni mpya guys wiki kadhaa au mwezi mmoja hiv
. Kwenye miradi ya UPGSP jafo amefanya poa sana hivi inakuaje Kenya wanakuaga na bajeti kubwa ila ikija kwenye utekelezaji ni hamna kitu.? Sisi na wao Nani taifa lenye nguvu.?
. Dodoma inapiga hatua kwa fujo .. Kenyans bye
Mkuu hii ni hatari sana, yn Tz imeshangaza sn, imeipa heshima East Africa.asikudanganye mtu bro The best 007 hao wakenya hawatuwezi ..mambo aliyoyafanya magufuli ingewachukua miaka mitano wao ingawachukua miaka thelasini kuyakamilisha
Huwa hawapendi kuona tukimsifia Magufuli wanasema eti wao hawaabudu mtu, hawajui kwamba hiyo ndiyo tofauti ya mtz na mkenya.. Hi nayo ni kwa tanzanians watembezi tu chunya uko mbeya.. Teargass njoo uone tz ina barabara za lami za kushato
Mpe na hii aone tunavyokwenda kutawala EA kwa kila kitu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Nishamualika aje asaidie wakenya wenzake huku wamechapwa vibaya kwenye battle ya shule za Govt [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyu jamaa battle ya shule imemtoa kamasi kaamua kuanzisha uzi mbadala.
Afrika bado sana, tusichekane, kule Tanzania wanafunzi kusoma kwa zamu kisa uhaba wa madarasa
Yaani wanafunzi wanasubirishwa nje ili kundi la kwanza likamilishe somo kwenye ratiba yao, hii Afrika tumechelewa kweli maana siamini mambo kama haya yanatendeka kwenye karne hii miaka mingi sana tangu mkoloni aondoke. Vipau mbele hamna, utakuta wakulu wanasafiri kwa magari ya kifahari kwenye...www.jamiiforums.com
Teargass bado bakora zinaendelea huku, uje tumalizane kwenye hili suala la Govt schools[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hawa jamaa ni majanga siku zote! The whole of Kisumu haina 5 star hotel wala conference center! Halafu mburura ana-dare kuilinganisha na Arusha city a safari capital of Africa! Itakuwa kuna fuse imechomoka kichwani! Si haba!. Yaani usije ukajidanganya kabisa kuhusu Arusha wewe Teargass eti inazidiwa na kisumu 😂😂.. mpaka maeneo yasiyopangwa yametandikwa lami .alaf kila siku kujifariji tu hum
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji86][emoji86][emoji85][emoji85][emoji90][emoji90]Tanzania mpya[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1669790View attachment 1669791View attachment 1669792View attachment 1669793View attachment 1669794
Yaani wewe mtu mzima unanionyesha bembea za watoto? Ama unadhani sisi hatuna bembea za watoto?. Fun city kigamboni . Nje ya dar wewe Tony254 sio investment za private tutoring hadi serikali . Hiv unajua kwamba shirika letu la nyumba ndio best East Africa.?
Inakaa majirani wametimka sioni wakijibu! Wanaugulia habari yaSGR phase III lot 5!
Tony254 upo wapi?
Hii thread imeshakuwa chungu kwa wakenya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hio ni fun city mzee huwez pata kenya nzimaYaani wewe mtu mzima unanionyesha bembea za watoto? Ama unadhani sisi hatuna bembea za watoto?
[emoji849][emoji849]