Got no time to argue with a fool troltuoneshe na hapa palipojengeka nairobi nipadogo sana tuoneshe sehemu hizi pia
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Mkuki kwa nguruwe kwa binaadamu mchunguGot no time to argue with a fool trol
The poorest architecture in historyWewe kama unataka kutuonesha vibanda vyenu vya huko Nairobi usikimbie tu hapa maana picha utazichoka.
View attachment 532198 View attachment 532199 View attachment 532200 View attachment 532201 View attachment 532202
Msee hizo mapicha si umeziridia hakuna zingine nini?Wewe huijui Dar es salaam. Kama hujui uliza. Dar ni kubwa mno huwezi maliza kuitembelea kwa siku moja. Nimekupatia Maneo kibao unatakiwa utafute hata kwenye google ni simple sana.
Yaani wewe ukisikia upanga kariakoo ndio basi siyo.
Kisutu hupafahamu? Kivukoni hupajui?
Oyserbay, Msasani, Masaki, Mikocheni, Kigamboni, Mbezi nk. Wewe kama huna pesa kaa kimya
Mikocheni hapa
View attachment 532222
Kijitonyama hapa
View attachment 532223 View attachment 532224 View attachment 532225 View attachment 532226 View attachment 532227 View attachment 532228
tumalize hapa kwanza kwenye jamii kubwa ya watu.. hii ndio world cityThe poorest architecture in history
This is the aerial viewThis is BRT in Dar es salaam. Nyie mnajichetua tu. Kwikwikwikwi. I will prove you wron about Dar es salaam
View attachment 532229 View attachment 532230 View attachment 532231 View attachment 532232 View attachment 532233 View attachment 532234 View attachment 532235
Yaani mlikosa cha kutop Africa hadi mkaamua bodyguardanything that is originating from tanzania is a brand.
this is mwarabu fighter,diamond platnumz's bodyguard and the most femous private bodyguard in africa(yah in Africa).
![]()
big up to the guy who took this pic.

Yani interchange moja unapiga picha in different anglesYaani kelele zote hizo unajisifia ujinga huu. Je, hapo ndio Nairobi?
Hebu jaribu kulinganisha na hapa Dar:-
View attachment 532279 View attachment 532280 View attachment 532281 View attachment 532282 View attachment 532283 View attachment 532284 View attachment 532285
nairobiYaani mlikosa cha kutop Africa hadi mkaamua bodyguard![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kwanza unga unao😀😀😀😀😀😀😀
Unga utakosaje na tunakula mahindi choma na githeri kila tukitakakwanza unga unao😀😀😀😀😀😀😀
tumalize hapa nairobiYani interchange moja unapiga picha in different angles
njaa bado inawatesa tu😀😀😀😀😀😀😀Unga utakosaje na tunakula mahindi choma na githeri kila tukitaka
serious hizi slums zote ziwe 6%🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
- Baba Ndogo
- Dandora
- Fuata Nyayo
- Huruma
- Kawangware
- Kangemi
- Kiambiu
- Kibera (including Gatwekera, Kambi Muru, Kangemi, Kianda, Kichinjio, Kisumu Ndogo, Laini Saba, Lindi, Makina, Makongeni, Mashimoni, Mugumoini, Raila, Sarang'ombe, Shilanga, Siranga, Soweto East and Soweto West)
- Korogocho
- Majengo, Nairobi
- Matopeni
- Mathare
- Mathare Valley
- Mukuru kwa Njenga
- Mukuru slums
- Nyalenda
- Pumwani
- Ziwa la Ng'ombe
- Kenyatta University Slums
Utajua nini wewe ni mshamba wa Kibera. Huko Nairobi hakuna sehemu ya kupiga raha kama hapa Dar. Wewe unataka wachemke kwani wamekuwa maji!!?
Ushamba wako peleka huko Nyeri.