Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Some random shots of the suburbs
b7903c338568179301d9aa631d7f290b.jpg

An aeriel view of garden City mall
10c66bdf5b9b208640cee68b17441c36.jpg
Sasa hiyo picha unaiwekea animation ya duara ili iweje sasa?
Nairobi hakuna kitu. Unajitahidi sana la zero. Makelele unayopiga tunasubiri ulete picha za maana kumbe unaleta uozo huu. Sasa hapo ndio chupi ya Nairobi?
 
Kuwa Gay ni raha. Kwikwikwikwikwi. Au na wewe ni mmoja wao hao mashoga.

Dar Sikukuu ya Eid

AW1A9896-660x400.jpg

AW1A9849-950x634.jpg

AW1A9850-950x634.jpg

AW1A9856-950x634.jpg

AW1A9862-950x634.jpg

AW1A9875-950x634.jpg

AW1A9880-950x634.jpg
mbona wamepoa ivo bana..imeshindwa hata na sherehe za maulid pale msa...sijaona yale mapico na mahina,mabuibui ivi,mishikaki kiasi..acheni kutuangusha
 
ntakua siitendei haki..acha dar ipambane na kina kiambu county kwa sasa
Hakuna kitu chochote wewe. Zaidi ya kupiga makelele meengi kumbe ni watupu kabisa. Kila jambo mnalotaka kufanya tunawagonga. Nairobi ni mbuga ya wanyama mnalazimisha tu kuita City.
 
Hakuna kitu chochote wewe. Zaidi ya kupiga makelele meengi kumbe ni watupu kabisa. Kila jambo mnalotaka kufanya tunawagonga. Nairobi ni mbuga ya wanyama mnalazimisha tu kuita City.
hahaa ....sasa unataka nni ndio uridhike.kiambu county yakutosha
 
mbona wamepoa ivo bana..imeshindwa hata na sherehe za maulid pale msa...sijaona yale mapico na mahina,mabuibui ivi,mishikaki kiasi..acheni kutuangusha
Utajua nini wewe ni mshamba wa Kibera. Huko Nairobi hakuna sehemu ya kupiga raha kama hapa Dar. Wewe unataka wachemke kwani wamekuwa maji!!?
Ushamba wako peleka huko Nyeri.
 
Hakuna kitu chochote wewe. Zaidi ya kupiga makelele meengi kumbe ni watupu kabisa. Kila jambo mnalotaka kufanya tunawagonga. Nairobi ni mbuga ya wanyama mnalazimisha tu kuita City.
Think twice before taking,dar 92% slums
 
Utajua nini wewe ni mshamba wa Kibera. Huko Nairobi hakuna sehemu ya kupiga raha kama hapa Dar. Wewe unataka wachemke kwani wamekuwa maji!!?
Ushamba wako peleka huko Nyeri.
hahahaaa..acha povu kijana....sio wa nyeri mmi.mambo ya idd mubarak nayajua cz nimzawa wa pwani.hao watu wenu wamepoa sana aisee.kama wanaomboleza vile..hehee
 
unajua tukichanganya mtahama humu ndani...wacha tuwaonee huruma
Huna uwezo huo dogo.
Check mapokezi ya Rayvan toka BET kuchukua tuzo yake. Nairobi Security ni zero watu hawawezi fanya chochote

DSC_1557-950x634.jpg

DSC_1584-950x634.jpg

DSC_1615-950x634.jpg

DSC_1660-950x634.jpg

DSC_1682-950x634.jpg

DSC_1693-950x634.jpg

DSC_1715-950x634.jpg
 
hahaa..sasa security ni hayo mapikipiki ya haojin na flyboy au
 
hahahaaa..acha povu kijana....sio wa nyeri mmi.mambo ya idd mubarak nayajua cz nimzawa wa pwani.hao watu wenu wamepoa sana aisee.kama wanaomboleza vile..hehee
Unakataa kwenu huko Nyeri Kibera. Kwikwikwikwi. Vijana wa Nairobi makelele meengi kumbe zero tu. Kila kitu tunawagonga. Ulizi kwenu ni zero hakuna cha maana zaidi ya matope kibao Nairobi. Magonjwa ya wanyama yatawamaliza.
 
hahaa..sasa security ni hayo mapikipiki ya haojin na flyboy au
Nani kakwambia pikipiki hizo ni Security. Hao ni fans na wapenzi wa Music bongo. Sisis hatuhitaji kulindwa tunajilinda wenyewe.
 
Back
Top Bottom