Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hahaha mara CBD mara residential.....hahaha. these Tanzanians are a special case
 
hehehee...looks like a huge panya route.alafu hii ndio wanatuletea nyefnyef nayo apa imagine..unafanya kuichungulia katikati ya izo vibanda
This is BRT in Dar es salaam. Nyie mnajichetua tu. Kwikwikwikwi. I will prove you wron about Dar es salaam
WhatsApp-Image-20160514-3.jpg
BUS-STOPS-MSIMBAZI-_n.jpg
26868807404_0bcd014b8a_k.jpg
26868929474_35ddb63184_k.jpg
27443642946_157bb2012f_k.jpg
27478017135_9cfeb6f8a4_k.jpg
27478304665_8bce0180c7_k.jpg
 
hesabiaga ndio kiswahili cha wapi????
chungu kimevunja kijiko.....kijiko kimevunjwa na chungu.......kiswahili kipana mnyambuliko wa maneno ni mkubwa kuliko hicho kichumba mnachoishi na familia yako

ushamba bwana
 
hahaha mara CBD mara residential.....hahaha. these Tanzanians are a special case
Nawagonga tu yaani mtajikuta mnatoa mapovu ovyo ovyo leo. This is Dar es salaam dogo. Tulia tukunyweshe dawa.
Nairobi hakuna kitu chochote. Watu wenye akili wanajua kabisa City iliyopo karibu na bahari lazima itaizidi iliyo maporini kama hiyo Nairobi wanakoishi wanyama.

This is Dar es salaam City
30428459161_d73a1fca65_k.jpg
30478803366_3d096844ba_k.jpg
30515161475_a5596f9fbd_k.jpg
31048948266_b0190db03c_k.jpg
Avic2.jpg
Avic3.jpg
be4.jpg
 
najua you dont under stand a figurative language. ...naelewa masomo ya bongo ni ovyo
kwa taarifa yako hiyo lugha ya english unayoitegemea bro naweza nikasimama na wewe nikatoa speech na nikawa bora zaidi yako.....bora uniambie french language ......sipendi kukiongea sababu nimekuwa nacho.....

english yangu hauigusi hata robo aisee wewe unaongee poor english tena yakimaskini sana na niinarafudhi mbaya sana.......
 
najua you dont under stand a figurative language. ...naelewa masomo ya bongo ni ovyo
Tulia ninakunywesha dawa. Ikuingie ili upone magonjwa yako ya kikuyuism na Nyang'auzation.
dm2.jpg
dm3.jpg
dm4.jpg
dm5.jpg
Dm1.jpg
 
Maybe one day Dar itakaribia Nairobi in terms of real estate and infrastructure
 
chungu kimevunja kijiko.....kijiko kimevunjwa na chungu.......kiswahili kipana mnyambuliko wa maneno ni mkubwa kuliko hicho kichumba mnachoishi na familia yako

ushamba bwana
ulikinyambua wewe ndio ukapata neno hesabiaga au?usijitie mjuaji hamna kiswahili kama hicho,pengine utuambie ni sheng yenu
 
Nawagonga tu yaani mtajikuta mnatoa mapovu ovyo ovyo leo. This is Dar es salaam dogo. Tulia tukunyweshe dawa.
Nairobi hakuna kitu chochote. Watu wenye akili wanajua kabisa City iliyopo karibu na bahari lazima itaizidi iliyo maporini kama hiyo Nairobi wanakoishi wanyama.

This is Dar es salaam City
View attachment 532237 View attachment 532238 View attachment 532239 View attachment 532240 View attachment 532241 View attachment 532242 View attachment 532243
eti jiji kuu hafu lina mbuga siushamba huu umewahi ona wapi mjini anafugwa tembo serikali ya kenya na raia wake ni maandazi sana....aisee
 
Anyway dar inajaribu sana,ipangiwe mchuano na mombasa lakini si nairobi
infact hiyo mikocheni na hao kina kigamboni wanayoisfia inafaa ifananishwe na kina sultan palace kule shanzu..eka nyali na ganjoni kando kabisa
 
anything that is originating from tanzania is a brand.

this is mwarabu fighter,diamond platnumz's bodyguard and the most femous private bodyguard in africa(yah in Africa ).
4dd29d7c11b51286c3af7ef5705cfa2e.jpg

big up to the guy who took this pic.
 
Back
Top Bottom