naona mnajiribu kukwepa kivuli chenu cha ukora.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ujue najiuliza huyu dada yako wa kikenya tokea aje hapa dar ameniganda hatari kila nikimwambia kuhusu kurudi nairobi ananikwepakwepa sijajua tatizo nini.......Lol......leteni upanga na Kariakoo tutakubali
safi kwani soon vikishakamilika tutazidi kuwa na vingi zaidi vya kujivunia kwenye city maana wao kikubwa ni vile viintercgarg na viflyover uchwala.....Dar siyo uanga na kariakoo pekee dogo.
1. Upanga
2. Kariakoo
3. OysterBay
4. Masaki
5. Mikocheni
6. Kijitonyama
7. Kigamboni
8. Mwenge
9. Ubungo
10. Mbezi
Na maeneo mengi sana.
Nairobi inaingia mara 3 kwenye Dar.
Halafu Nairobi zaidi ya 60% ni Slum.
Hatutaki ujinga hapa. Kwikwikwikwi
![]()
![]()
![]()
sisi tunapiga vitu double double siyo nyie ........mmejazana kuanzia babu mpaka vitukuu kwenye store moja......mnatia huruma aiseeHii Dar bado sana.....inaezaendana na Mombasa sawasawa
Nataka kukunyoa kwa kutumia chupa tulia nikupige vitu. Hapa unaleta mbwembwe za kishamba sana.
View attachment 532203 View attachment 532204 View attachment 532205 View attachment 532206 View attachment 532207 View attachment 532208 View attachment 532209 View attachment 532210 View attachment 532211 View attachment 532212
kwani hii picha ya kijitonyama haiwachoshi jamani..kila mkiguswa mshaitupia tayariTulia nikubandike kisha nikubandue.
This is Dar es salaam. Hizo picha zenu sijui mmezitoa wapi
Maeneo baadhi ya Kijitonyama Business District
View attachment 532213 View attachment 532214 View attachment 532215 View attachment 532216 View attachment 532217 View attachment 532218 View attachment 532219 View attachment 532220
ha haaa hayo si majina ya wanyama pori........mkenya wewe ni kituko kwa hiyo city ati uko wafanana na tumbiliHapo Dar inakaa ni upanga Kariakoo na CBD ndio mtu anaweza ishi. ...sehem nyingine ni uswahili uswahili vidanguro hivi.
In Nairobi. ....you have a whole kiambu county which covers 2500 km sq to choose a decent apartment
You have the larger machakos county entailing Athi river Syokimau Mlolongo to a decent apartment or even purchase land and build.....machakos covers 8000 square kilometers
Then you have Kajiado which entails kitengela Ngong Kiserian Ongata rongai with affordable houses and land.Most of Nairobi's middle class Can afford cheap land in Kajiado
Infact most Nairobians like 60% dont stay with in the city boundaries.
Info 101
![]()
![]()
eiish...hii ni dar ya 2017????nisaidieni pliz
hii ni barabara ya brt? I can't imagine surrounded by slums![]()
![]()
eiish...hii ni dar ya 2017????nisaidieni pliz
Wewe huijui Dar es salaam. Kama hujui uliza. Dar ni kubwa mno huwezi maliza kuitembelea kwa siku moja. Nimekupatia Maneo kibao unatakiwa utafute hata kwenye google ni simple sana.Hapo Dar inakaa ni upanga Kariakoo na CBD ndio mtu anaweza ishi. ...sehem nyingine ni uswahili uswahili vidanguro hivi.
In Nairobi. ....you have a whole kiambu county which covers 2500 km sq to choose a decent apartment
You have the larger machakos county entailing Athi river Syokimau Mlolongo to a decent apartment or even purchase land and build.....machakos covers 8000 square kilometers
Then you have Kajiado which entails kitengela Ngong Kiserian Ongata rongai with affordable houses and land.Most of Nairobi's middle class Can afford cheap land in Kajiado
Infact most Nairobians like 60% dont stay with in the city boundaries.
Info 101
hehehee...looks like a huge panya route.alafu hii ndio wanatuletea nyefnyef nayo apa imagine..unafanya kuichungulia katikati ya izo vibandahii ni barabara ya brt? I can't imagine surrounded by slums
asa kwani wanahesabu kwa meno...?.....øh Gød. .....ghorofa nimehesabu na vidole....hahaha. Hii hata Mombasa inaweza wanyorosha



we wawapi mbona pumba hivyo