Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukhekhekhekhekehekehekrhr [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
“No there isnt “ [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 1667481
@Teargass jamaa anapindisha mada huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jana kasema hatu assemble leo amekuja kivingingine..
 
Third party zinafanyika tanzania ndioa maana buscar akaja huku kuchkua scania bus kutoka dar coach [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1667491View attachment 1667492
Body by ndio ya scannia third party assemble ya tanzania..
Wanafanyia katika kampuni gani manake kenya ni AVA..
Emu waulize tunakusubiria
 
Me nataka siku wajichanganye walete battle ya kuanzia Universities, Colleges, Vocational Colleges, Training Centers, Secondary to Elementary Schools waone tutakavyowachangamkia
Weruweru sekondari
Government owned
images%20(9).jpeg
 
Ila jamaa ubishi huwa unamtesa kwelikweli yn yupo radhi apoteze muda wake ili mradi aonekane anajua kitu hata km hajui daahh aisee Mungu kweli fundi, mm siwezi usenge huo [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji204][emoji204][emoji86][emoji86]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Body by ndio ya scannia third party assemble ya tanzania..
Wanafanyia katika kampuni gani manake kenya ni AVA..
Emu waulize tunakusubiria
Weka hapa Scania moja ikionekana inafanyiwa assemble hapo Kunyaland mnaogopa nn ss, mbn huwa mnakuwa sharp kuleta mambo mengine hii mnaogopa nn, tangu jana mnatoa ngonjera lkn link na picha ya hyo plant hamuweki.
 
Back
Top Bottom