ichoboy01 alikuwa anasema akionyeshwa assembly plant yoyote ya scania iliyopo Nairobi atafunga account.. kuna jamaa alikuwa anatuma picha, anasema zipo nairobi.. leo analetewa ujumbe kuwa kuna garage (not scania owned) ipo mombasa ndo inatengeneza magari (trucks) za Scania! this means that jamaa hajui anachoongelea, “no brain, just vibes”
automobile company gani eti inafanya assembly kwenye plant isiyo yake? hio sio plant, ni garage tu ya mtu ndo inafanya matengenezo!
ichoboy01 yuko sahihi.. akionyeshwa assembly plant ya scania atafunga account