Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa huu upumbavu wako umeweka humu nishaanza kuku search, ngj nii install facebook app nikusearch vzr nikuumbue humu, kwa kuanza kabisa nmepata picha hii nahisi huyu ndio wewe ila bado naendelea kuku search
Screenshot_20210104-115942~2.jpg
 
Mwingine ashaanza kuguess majina yangu just because I speak the truth
 
Unaelewa maana ya full stop? "In Kenya and Tanzania."......, then ulivyofala unasema zote zinakuwa assembled in Mombasa unashindwa hata kujua ulimuulizaje na akakujibu vp, yn ww ni kimba kabisa
Mbona kataja msa tz hakutaja sehemu
 
Nimekubia wewe ni mshamba sana.
Hapo sijui umeficha kitu gani. Mimi tayari nimeshajua jina lako. I told you, your country will never trust you.

Scania hawatakuwa tayari private sms kuwekwa public. Unaweza ukashitakiwa kwa jambo hili.

Nenda shule kijana kasome japo kidogo mambo ya sheria.
You are more foolish than you think.
 
Ninakushauri tu. Private sms unaziweka public. Do you know confidentiality!?

Hivi unadhani kwa taarifa hiyo upo salama!?
Read my introduction message alafu uache kujiaibisha. I told them why I was asking for the information. I told them that I wanted that information so that I can post it where the argument was (Jamii Forum)
IMG_20210104_121434_240.JPG
 
Nimekubia wewe ni mshamba sana.
Hapo sijui umeficha kitu gani. Mimi tayari nimeshajua jina lako. I told you, your country will never trust you.

Scania hawatakuwa tayari private sms kuwekwa public. Unaweza ukashitakiwa kwa jambo hili.

Nenda shule kijana kasome japo kidogo mambo ya sheria.
Hapo kavunja sheria gani bwana lawyer
 
Mwingine ashaanza kuguess majina yangu just because I speak the truth
Mpuuzi huyo, eti kapata jina lako kivipi vipi haswa
Wakati ulikua nao inbox hao jamaa, lkn ulifanya kumpa letter yako ya c ya jina lako fb..ulimlimbiza kabisa
 
Back
Top Bottom