The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Hahahahahaaaa, ataanza kutukana ss hv cz wakunya wapo hopeless mnooNataka nikusaidie.
Humu JF watu wanaakili zao.
Kwa mujibu wa namna ulivyojibu tayari nimekujua uwezo wako elimu.
Vilevile nakushauri jaribu kusoma zaidi na ujikite kwenye ujuzi wako.
Maswali nikiyokuwa nakuuliza ni ya kitoto sana. Wewe Maximum education uliyonao ni degree moja. Tunaita Basic Degree.
Halafu age yako ni btn 20 to 25.
Wewe ni pekee yako uliyesoma kwenye familia yenu.
Wazazi wako ni maskini wanakutegemea.
Hii ndiyo analysis yangu. Nikiendelea kukuhoji nitajua na sehemu unayokaa.




