Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hili suala binafsi silifuatilii sana... na kwa Magu sijajua ina faida gani! lkn kuweko kwake kwenye hio list kuna kitu dunia kimeonyeshwa au waandaaji kuna kitu wamekiona toka kwa Magu! kwann asiwepo Paul Kagame? au wa kule misri au wa taifa lolote la Africa? au Uhunye?? Kwann Magu????

in short, waandaaji kuna kitu wamekiona kwa Magu au kwa hao wengine watatu!
hata Magu akiwa wa mwisho.. kuna kitu Africa pamoja na waandaaji wamekiona kwa Magu
Sidhani kama kuna udhibiti wa mtu mmoja asipige kura mara nyingi. Na kama ni hivyo this thing is nonsense, childish and waste of time . How can you vote for someone without any performance criteria? This is just rubbish. What we care about is his performance and not otherwise!
 
Kama mtu amekosa unafaa kumcorrect[emoji23][emoji23][emoji23]. Tell us your answer kama kitu nimesema siyo answer[emoji1]. Let me tall you one thing in DNA Recombination.
There is cleavage and Ligation. In cleavage, the endonuclease enzymes cut the nucleotidess while the ligase enzymes join together the newly introduced nucleotidess.
Umekosa. Nenda shule sasa achana na vitu usivyo vijua
Nilikuwa najua tu wapi una google. Nikahamisha meza naona kweli umeanza kuyumba

Suitable host in genetic engineering to introduce DNA fragments of donor is
 
Bacillus subtilis and streptomyces spp. are Prokaryotes which are used as hosts for introducing
Bado tuko hapa[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]. You are saying that I'm wrong. Please tell us your answer[emoji23]
Umekosa. Nenda shule sasa achana na vitu usivyo vijua
Nilikuwa najua tu wapi una google. Nikahamisha meza naona kweli umeanza kuyumba

Suitable host in genetic engineering to introduce DNA fragments of donor is
 
Wewe ni mdogo sana kwangu. IQ yako ipo chini mno. Naweza kukuchezesha gwaride muda wote.

Ukija kwenye facts mimi nina data nyingi.
Education nakuzidi
Exposure nakuzidi.
Jamaa akiionaga hii ID huwa anakosa raha sn [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji204][emoji204][emoji86][emoji86][emoji87][emoji87][emoji85][emoji85]
 
Hehehe mwenye amekosa unafaa kumcorrect[emoji23][emoji23][emoji23]. Tell us your answer kama kitu nimesema siyo answer[emoji1]. Let me tall you one thing in DNA Recombination.
There is cleavage and Ligation. In cleavage, the endonuclease enzymes cut the nucleotidess while the ligase enzymes join together the newly introduced nucleotidess.
Nataka nikusaidie.
Humu JF watu wanaakili zao.
Kwa mujibu wa namna ulivyojibu tayari nimekujua uwezo wako elimu.

Vilevile nakushauri jaribu kusoma zaidi na ujikite kwenye ujuzi wako.

Maswali nikiyokuwa nakuuliza ni ya kitoto sana. Wewe Maximum education uliyonao ni degree moja. Tunaita Basic Degree.

Halafu age yako ni btn 20 to 25.

Wewe ni pekee yako uliyesoma kwenye familia yenu.

Wazazi wako ni maskini wanakutegemea.

Hii ndiyo analysis yangu. Nikiendelea kukuhoji nitajua na sehemu unayokaa.
 
Hizi hasira zote are just because I have answered all your questions?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mimi hakuna kitu utaniambia kuhusu elimu, labda ujaribu kule kwa Uganga na uchawi[emoji23][emoji23]. Wewe venye nimekusoma sidhani hata kama umemaliza Primary School juu because you are asking direct questions that even high schooler in Kenya can get all of them[emoji23][emoji23]
 
Nataka nikusaidie.
Humu JF watu wanaakili zao.
Kwa mujibu wa namna ulivyojibu tayari nimekujua uwezo wako elimu.

Vilevile nakushauri jaribu kusoma zaidi na ujikite kwenye ujuzi wako.

Maswali nikiyokuwa nakuuliza ni ya kitoto sana. Wewe Maximum education uliyonao ni degree moja. Tunaita Basic Degree.

Halafu age yako ni btn 20 to 25.

Wewe ni pekee yako uliyesoma kwenye familia yenu.

Wazazi wako ni maskini wanakutegemea.

Hii ndiyo analysis yangu. Nikiendelea kukuhoji nitajua na sehemu unayokaa.
Duuuh 🙄🙄🙄hii hatari
 
Attachments

  • 2655677_tapatalk_1586605923441.jpg
    2655677_tapatalk_1586605923441.jpg
    115.4 KB · Views: 18
Back
Top Bottom