lutemi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 1,750
- 1,397
Wanatuzidi kunya bila kutawadhaUko ahead ya kitu gani wewe mshamba!!?
1. ICT tunawapiga ile mbaya
2. Telecom tunawapiga ile mbaya.
3. Starehe tunawapiga ile mbaya
4. Music Industry tunawapiga sana
5. Movie Industry tunawanyoa kwa chupa
6. Utalii tunawagonga
7. Security issues tunawapeleka jando
8. Food Security and Availability hamutuwezi
9. Kwa kukimbia ovyo ovyo mnatuzidi. Mnakimbia zaidi ya punda
10. Public Transport tunawazidi ile mbaya.
Sasa wewe unabakiwa na nini? Zaidi ya kutoa povu kama huna akili nzuri.
Kujifanya wajuaji wakati umasikini wa wakenya mpaka matakoni