Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe jamaa ni bonge la mshamba. Hujui kujadiliana. Kama huna cha kuongea kaa kimya.
Nadhani somo la Dar umelielewa sasa. Umekuwa mpole kweli kama umemwagiwa maji mazito.
Dar ni nini?? 1200 millionaires to Nairobi 6200...GDP 9 b us $ against 40 b its too shameful... 100 international corporates in Nai to zero in Dar is a big shame...pole sana but Dar kufikia Nai bado msee
 
then if that is how you argue(based on individual kenyan's views) it shows that you get personal which is very immature.
plus its a lie coz most fights are started by you,have been following up man.
sijawahi Ku-engage na wakenya on personal basis.wakenya wengi ni rafiki zangu.
 
Nimesema wewe ni mshamba mno unasifia wanaume. Hivi umeisoma thread hii maelezo yake kweli!!? Maana jamaa unatoa povu zito mno. Kila wakati uko off topic hivi wewe ni mvuta bangi!?
 
Okay. Tuanze viwanya vya Soccer vilivyopo Nairobi vs vilivyo Dar. Usilete maneno maneno hapa. Sawa?
1. Uhuru Stadium (Dar es salaam Tanzania)

033102d4b6d92c6f9c18b81815dd6986.jpg

8293e891215f8112e638320db7f03549.JPG

42c6c4f51012dee61029d0bae38049ce.JPG
uhuru stadium capacity: 23000
nyayo stadium capacity:30000
indoor basketball/volleyball arena
olympic size swimming pool
gymnasium

kh.jpg
NYAYO STADIUM IN NAIROBI KENYA 1.jpg
3564.jpg
An-aerial-view-of-Nyayo-Stadium.gif
dsc_4618.jpg
DSC_0958.jpg
masinde-31.jpg
nyayo-national-stadium-4.jpg
code-red-2.jpg
maxresdefault.jpg
pic 2.jpg
nyayo-gym1.jpg
nyayo-national-stadium-6.jpg
 
1.Tanzania has double land size to kenya
2.Tanzania has more pop than Kenya
3.Tanzania has more minerals than Kenya
4.Arable land in Tz is 100% to kenyas30% So why this
1.Kenya exports more Tea,horticulture, coffee etc than tz
2.Kenya's GDP 75b to Tz 50b
3.Kenya middle class income Tz/4.Kenya is generally ahead of tz on almost everything
Kwani mlirogwa nini? If Kenyans were blessed like u guys tungekua league ya Singapore sai
 
sijawahi Ku-engage na wakenya on personal basis.wakenya wengi ni rafiki zangu.
kama hujawahi kufahamu kuwa ni vibaya kuongea vibaya kuhusu wakenya wanaokufa njaa kwa sababu ya ukame basi jua hivo leo. hilo ni tatizo kubwa katika nchi nyingi zilizo na arid lands ambazo kuna misimu ya kiangazi,you are lucky kiangazi hamna.
 
1.Tanzania has double land size to kenya
2.Tanzania has more pop than Kenya
3.Tanzania has more minerals than Kenya
4.Arable land in Tz is 100% to kenyas30% So why this
1.Kenya exports more Tea,horticulture, coffee etc than tz
2.Kenya's GDP 75b to Tz 50b
3.Kenya middle class income Tz/4.Kenya is generally ahead of tz on almost everything
Kwani mlirogwa nini? If Kenyans were blessed like u guys tungekua league ya Singapore sai
Uko ahead ya kitu gani wewe mshamba!!?
1. ICT tunawapiga ile mbaya
2. Telecom tunawapiga ile mbaya.
3. Starehe tunawapiga ile mbaya
4. Music Industry tunawapiga sana
5. Movie Industry tunawanyoa kwa chupa
6. Utalii tunawagonga
7. Security issues tunawapeleka jando
8. Food Security and Availability hamutuwezi
9. Kwa kukimbia ovyo ovyo mnatuzidi. Mnakimbia zaidi ya punda
10. Public Transport tunawazidi ile mbaya.
Sasa wewe unabakiwa na nini? Zaidi ya kutoa povu kama huna akili nzuri.
 
Wewe na ujinga ni chanda na Pete...you're too stupid to say the least
ujue COLLO laiti mzazi wako angekuwa freemason lazima angekutoa kafara sababu hauna faida yeyote ya kuwepo hapo nairobi..........unasifiaga utumbo tu na unatetea vitu matope ......wakenya wenzako waliofika dar wanaipa salute......cha ajabu wewe usiyefika na kamwe hautoweza fika kutokana na umaskini unabishabisha tu
 
kama hujawahi kufahamu kuwa ni vibaya kuongea vibaya kuhusu wakenya wanaokufa njaa kwa sababu ya ukame basi jua hivo leo. hilo ni tatizo kubwa katika nchi nyingi zilizo na arid lands ambazo kuna misimu ya kiangazi,you are lucky kiangazi hamna.
Mkiwa wastaarabu nasi tunakuwa wastaarabu. Hatuwezi kuchagua sehemu ya kuwapiga ilimradi nyie mlianzisha kututukana wakati sisi tupo kimya tu. Sasa tumeamuakulipa mnalia lia kama watoto.
Huwezi kutupangia cha kuwagonga mpaka akili zikae sawa muwe na heshima ya waafrica wenzenu.
 
Dar ni nini?? 1200 millionaires to Nairobi 6200...GDP 9 b us $ against 40 b its too shameful... 100 international corporates in Nai to zero in Dar is a big shame...pole sana but Dar kufikia Nai bado msee
asa wewe ni millionaire.......?...acha shadadia upuuzi........hao millionaire wenu wengi ni foreigner hampo real ila asili yenu ni askini ukapuku
 
Uko ahead ya kitu gani wewe mshamba!!?
1. ICT tunawapiga ile mbaya
2. Telecom tunawapiga ile mbaya.
3. Starehe tunawapiga ile mbaya
4. Music Industry tunawapiga sana
5. Movie Industry tunawanyoa kwa chupa
6. Utalii tunawagonga
7. Security issues tunawapeleka jando
8. Food Security and Availability hamutuwezi
9. Kwa kukimbia ovyo ovyo mnatuzidi. Mnakimbia zaidi ya punda
10. Public Transport tunawazidi ile mbaya.
Sasa wewe unabakiwa na nini? Zaidi ya kutoa povu kama huna akili nzuri.
ICT ata 2050 hamwezi fikia Kenya.
Starehe mko down...international artists wako hapa every weekend.
Overally GDP yetu ni kubwa by more than 25b USD periog
 
ujue COLLO laiti mzazi wako angekuwa freemason lazima angekutoa kafara sababu hauna faida yeyote ya kuwepo hapo nairobi..........unasifiaga utumbo tu na unatetea vitu matope ......wakenya wenzako waliofika dar wanaipa salute......cha ajabu wewe usiyefika na kamwe hautoweza fika kutokana na umaskini unabishabisha tu
Wewe na ujinga yako utaezana na mimi kweli?...wenzako werevu walishindwa wakakuchocha ety wewe dawa ya Collo...bro soma kwanza ndio tupingane
 
Mkiwa wastaarabu nasi tunakuwa wastaarabu. Hatuwezi kuchagua sehemu ya kuwapiga ilimradi nyie mlianzisha kututukana wakati sisi tupo kimya tu. Sasa tumeamuakulipa mnalia lia kama watoto.
Huwezi kutupangia cha kuwagonga mpaka akili zikae sawa muwe na heshima ya waafrica wenzenu.
Samuel yani kichapo cha twitter kilikukeep away for more than a month...izah budaah
 
Wewe na ujinga yako utaezana na mimi kweli?...wenzako werevu walishindwa wakakuchocha ety wewe dawa ya Collo...bro soma kwanza ndio tupingane
ha haa kumbe wewe wataka ligi.........aiseee welcome to ze hell karibu MZEE WA IPHONE7 Maana umeongea upuuzi ambao sikuwahi kuufikiria....
 
ICT ata 2050 hamwezi fikia Kenya.
Starehe mko down...international artists wako hapa every weekend.
Overally GDP yetu ni kubwa by more than 25b USD periog
Twende kwenye ICT dogo tuone wewe uko wapi.
1. Tanzania ipo na Internet Data Center( Government Internet Data Center)
 
Back
Top Bottom